Makapuku Forum

Huyo Eva na Mimi nani mlaini sana?


...mpenzi, mimi na wewe hatuendagi guest, na pia sijawahi kumjaribu huyu Eva, mambo ya Eva muuliza mjomba wangu lee empire.

Ulaini wako kama keki ya tufaa nashindwa kukulinganisha na andazi la kifaransa (croissant), na ujue ulaini wako ndo unaonipatia ugumu mimi, you know like hard on hata uvccm wakimaliza election mimi bado nina erection kwa ulaini wako.

Unataka kusikia nini tena?
 
Wacha weeeeh
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…