Makapuku Forum

Kila shetan na mbuyu wake, najionea mapya, najionea maajab maangu sijawah penda hv popte kwenye ulimwengu, siwez elezea jns nnavyokuzmia, nikicheza na moyo wako nacheza na wangu pia, nafs yangu juu yako ishapotea, nashndwa jitetea, ka ultoroka pepon uzur uliokuenea. Ujue una nusu ya moyo wangu na nusu iliyobak kwangu yote nakupenda wew. Unajua langu, una mwez wangu, unatembea na roho yangu, c m2 wa madem tena we ndo michelle obama wangu. We ndo kiboko yangu.


Yamenitoka tuuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…