Makapuku Forum

Hahaa....

Lee ameniambia amekula yula demu [emoji3][emoji3][emoji3]

...japokuwa aunt yangu anajisema kuwa na moyo wa paka lakini kwa hili nimeguswa sana ikabidi nimtakie usiku mwema.

Kama kuna mdau anajua kuandika talaka vizuri, mwandiko mzuri ajitokeze tunaweza kumsaidia aunt yangu, nimeumia sana.

Hivi yule mdigo yupo?
 
Yataisha tuu mkuu.

Mimi nawaombea tuu wayamalize , tena wayamalize wenyewe.

Time heals..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…