Ni vizuri ajue mpenziAchana naye huyo my
Hongera sanaYaani we acha tuuu
OKStay Tuned
Mtu chake babuuHahahaha
Siamini kama wewe Shululu wakusema hayo!!
Anajua sana my,ila anajitoa ufahamu tuNi vizuri ajue mpenzi
Nataka usijutie kunifahamu.Hahaha
Umejua kuniweza
Sawa binamu uhali gani lakin
Mmmm, kawaida hiyopolee
Anamuona kila mtu, lHata wewe Mungu anakuona
Asante Binamu Obe.Muziki: Wiki Njema
Sina shaka na hata kabla sijalisema hili ni lazima ujue salamu ni jambo la kiungwana na ndiyo maana ninakusalimia Jumapili hii nikijiaminisha kabisa pasi na shaka ulikuwa na wiki njema na unajiandaa na wiki ya kazi. Wapo baadhi yetu hatuna cha wikend wala weekday ni mwendo wa kazi tu. Si huwa wanasema hapa kazi tu.
Jumapili huwa sina maneno mengi kwenye kipengele hiki, na zaidi huwa tunajikumbusha na nyimbo za zamani japo si sana na tunafurahi pamoja.
Leo tupo kwa majirani zetu hapa, ni majirani zetu tunaojiraniana nao. Nikutakie wiki njema kabisa kapuku mwenzangu mheshimika
fafanua kidogo hapoAnajua sana my,ila anajitoa ufahamu tu
Sawa baba watotoAnajua sana my,ila anajitoa ufahamu tu
Elimu ni bure, hata mkulu analitambua hiloNi vizuri ajue mpenzi
Tuko poa sana mpendwa wako hajamboKhali yangu nzuri kabisa najiandaa na wiki ili nipambane na hali yangu.
Wewe na Shululu na wale mapacha mkoje wikend yenu ilikuwaje?
SwalamaaaaWakuu salamaa?