Makapuku Forum

Muziki: Furahiday ya Watu Wema


.....basi usisikie neno wema ukadhani ni jina Wema, kuna tofauti ya jina na neno hata kama kimantikia na kisemantikia yanafanana. Tofauti ipo tu na kuondoa hii tofauti ndo maana sasa inabidi nikusalimie maana baada ya kumsikiza kiongozi wa kambi ya upinzani hapa nyumbani kwangu, imebidi nirudishe majeshi nyuma maana hizi siasa za unyumba usizichezee hata kidogo.

Hujawahi kugombana na kaka wa mkeo wewe, si huwa wanasema ndugu wa mume wanangenga sana basi jaribu kugombana na kaka wa mkeo na ubavu wako ukawa upande mmoja na kaka yake. Hapo ndo utajua tunaposema period hatumaanishi nukta bali period endelevu na utachora sana hapo chini vinginevyo uwe na akili kama za mjomba wangu mzee nyumba nyingi almaarufu humu kama lee empire .

Muziki sasa, sijalewa japo nipo mitaa ya bakulutu hapa bar ya Magereza naburudika

 
Hivi binamu unanitafuta nini? Huonagi wa kuwatolea mfano mpaka anko wako? Endelea baba binamu
 
Asantee binamu. ...

Usiponipiga majungu unawashwawashwa kama mkuluu alivosmea
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…