Husna Muba JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 14,524 Reaction score 44,585 Sep 21, 2017 #278,621 Tumosa said: Woooooooooooyoooo Click to expand... maka bwana
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,007 Reaction score 108,561 Sep 21, 2017 #278,622 Habari zenuu Wandugu..
Husna Muba JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 14,524 Reaction score 44,585 Sep 21, 2017 #278,623 Mussolin5 said: shukrani mkuu Click to expand... Nakuona mtaasisi
Husna Muba JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 14,524 Reaction score 44,585 Sep 21, 2017 #278,624 Gentries said: Habari zenuu Wandugu.. Click to expand... Ni nsore
Husna Muba JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 14,524 Reaction score 44,585 Sep 21, 2017 #278,625 LEO KATKA HISTORIA Tarehe 21 Septemba ni siku ya 264 ya mwaka (ya 265 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 101.
LEO KATKA HISTORIA Tarehe 21 Septemba ni siku ya 264 ya mwaka (ya 265 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 101.
Husna Muba JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 14,524 Reaction score 44,585 Sep 21, 2017 #278,626 1676- uchaguzi Wa papa innocent XI
Husna Muba JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 14,524 Reaction score 44,585 Sep 21, 2017 #278,627 1979-Serikali ya jean Bedel Bokassa,kaisari Wa Africa ya kati inapinduliwa
Husna Muba JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 14,524 Reaction score 44,585 Sep 21, 2017 #278,628 1981- Nchi ya Belize inapata Uhuru wake kutoka kwa waingereza
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Sep 21, 2017 #278,629 Mussolin5 said: shukrani mkuu Click to expand... Pamoja sana mkuu, za kuadimika
Husna Muba JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 14,524 Reaction score 44,585 Sep 21, 2017 #278,630 1991- Nchi ya Armenia inapata Uhuru wake kutoka kwa umoja Wa kisovyeti
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Sep 21, 2017 #278,631 Tumosa said: Nko poa kabisa, kwa nn umenitoroka lakini Click to expand... Niliona kama umechoka sana
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Sep 21, 2017 #278,632 Gentries said: Habari zenuu Wandugu.. Click to expand... Nzuri ndugu, karibu
Husna Muba JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 14,524 Reaction score 44,585 Sep 21, 2017 #278,633 1983- Anna favella muigizaji Wa filamu kutoka Italia anazaliwa
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Sep 21, 2017 #278,634 Tumosa said: asante baba wawili Click to expand...
Husna Muba JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 14,524 Reaction score 44,585 Sep 21, 2017 #278,635 1943- Kay Ryan mshairi kutoka marekani anazaliwa
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,007 Reaction score 108,561 Sep 21, 2017 #278,636 Ahsante ndugu habari za mizungukoo shululu said: Nzuri ndugu, karibu Click to expand...
Husna Muba JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 14,524 Reaction score 44,585 Sep 21, 2017 #278,637 1909- Kwame Nkrumah Rais Wa kwanza Wa Ghana anazaliwa
Madame S JF-Expert Member Joined Mar 4, 2015 Posts 17,177 Reaction score 34,444 Sep 21, 2017 #278,638 husna muba said: kwa vibomu tu miaka lhajambo Click to expand... hahahhahahhaha sjasema mimi
Madame S JF-Expert Member Joined Mar 4, 2015 Posts 17,177 Reaction score 34,444 Sep 21, 2017 #278,639 husna muba said: Hafi haraka huyuu Click to expand... na kweli atakufa na mkongojo wake
Husna Muba JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 14,524 Reaction score 44,585 Sep 21, 2017 #278,640 1987- jaco pastorius mwanamuziki kutoka marekani anafariki Mwisho