Hapana dada mi siko hivyo ila napenda misingi ya kitu husika ifutwe
Na ujue tunapo kuwa hapa makapuku sisi ni ndugu na inapo tokea mtu ameleta maada nje ya makapuku huwa nakosa nguvu ya kuzungumza ila hapa nitakuwa huru