LoadingKwenye pitapita na gazeti la jamhuri nimeambulia hii ...
Isijekuwa kama sani na story za korea
AmenHeri walio masikini wa roho mana ufalme wa mbinguni ni wao
Heri wenye huzuni maana hao watafarijika
Heri kwenye upole maana hao watairithi nchi
Heri wenye njaa na kiu ya haki maana hao watashibishwa
Heri wenye rehema maana hao watapata rehema
Heri wenye moyo safi maana hao watamwona Mungu
MATHAYO 5:3-8
HIVI UKIAMKA UNAMSHKURU MUNGU WAKO NA KUMWAMBIA ASANTE KWA KUNIAMSHA SALAMA SIKU YA LEO AU WEWE NDIO WALE WANAKURUPUKA TU BILA MUNGU WE SI CHOCHOTE MSHKURU KWA KILA JAMBO ANALOKUFANYIAMUWE NA ASUBUHI ILIYO NJEMA KWENU MBARIKIWE SANA
Apambane na hali yake kwa sasaEbu msaidieni mwanaume mwenzenu shedede analialia huko toka 2012 hana mwanamke hajapata wa kumpenda ebu mwambieni wapiii anakosea
Sijapata wa kunipenda, hili gundu au?
Si anawakimbiaEbu msaidieni mwanaume mwenzenu shedede analialia huko toka 2012 hana mwanamke hajapata wa kumpenda ebu mwambieni wapiii anakosea
Sijapata wa kunipenda, hili gundu au?
Shem za kwako, mnapotea sana aiseeMorning all. Nimewamiss sana maswahiba.
Nimeona hili nenoMorning le mbebez
Nyagei
Anakimbia gharama mambo ya laki si pesaSi anawakimbia
Nzuri shemela, za kuamka na weweMwinuke zeze
AmenHeri walio masikini wa roho mana ufalme wa mbinguni ni wao
Heri wenye huzuni maana hao watafarijika
Heri kwenye upole maana hao watairithi nchi
Heri wenye njaa na kiu ya haki maana hao watashibishwa
Heri wenye rehema maana hao watapata rehema
Heri wenye moyo safi maana hao watamwona Mungu
MATHAYO 5:3-8
HIVI UKIAMKA UNAMSHKURU MUNGU WAKO NA KUMWAMBIA ASANTE KWA KUNIAMSHA SALAMA SIKU YA LEO AU WEWE NDIO WALE WANAKURUPUKA TU BILA MUNGU WE SI CHOCHOTE MSHKURU KWA KILA JAMBO ANALOKUFANYIAMUWE NA ASUBUHI ILIYO NJEMA KWENU MBARIKIWE SANA
Apimwe iliiiiUnayo mate ya kupimwa?
Nyagei
Ila Mwifwa una utani mbaya ujueNimeona hili nenonilijua Le mbebezz ninayemjua kavamia kijiwe hiki.
Morning Makapuku
Apambane na hali yake. ..upo mmu auAnakimbia gharama mambo ya laki si pesaeti laki ya kutengeneza nywele shedede buana
acha nikupende tu kumbe ulifikisha ujumbe baba dCuzoo salaam zako nimepata baba d ameniambia nakuja kijiweni
Nimeamka salama shemela hofu kwenu tuNzuri shemela, za kuamka na wewe
Shemela za tangu janaNa kwako pia shemela
AiseeEbu msaidieni mwanaume mwenzenu shedede analialia huko toka 2012 hana mwanamke hajapata wa kumpenda ebu mwambieni wapiii anakosea
Sijapata wa kunipenda, hili gundu au?