Safi sana mkuu kwa hatua uliyopiga ya kumiliki GalaxyMtaasisi mambo veepee bhana naona Arsenal alipochezea nne ukapotea kabisa. Anyway aliyewafunga alilipwa tano pia
BTW, kwa kuwa ulikuwa haupo naamini huna taarifa nimenunua Samsung Galaxy emoji zimejaa😀
Safi sana mkuu kwa hatua uliyopiga ya kumiliki Galaxy
Naona unataka kujenga picha ya mimi kuwa na mlengo mmoja na bibie Clkey na mwenzake shululu
Mimi ni MUFC die hard
Nyagei
I Never believed when my pastor told me: "the more you give, the more you get" till I watched Man City give Liverpool 5Mtaasisi mambo veepee bhana naona Arsenal alipochezea nne ukapotea kabisa. Anyway aliyewafunga alilipwa tano pia
BTW, kwa kuwa ulikuwa haupo naamini huna taarifa nimenunua Samsung Galaxy emoji zimejaa😀
Morning Lee empireGood morning all kapuku