Binamu Obe naomba hii nyimbo uniwekee hata kama nitakuwa nimelala kesho niikute sasa ole wako usiniwekee
Juzi nilichagua nyimbo haujaniwekea ole wako na leo ijirudie naomba nyimbo hii ya jux na vee money juu imfikie baba d wangu mimi apa shunie kivuruge wa kwangu
Chaguo lake aunt yangu Shunie ambaye kwa kweli anajitahidi kupambana na hali yake kwa nguvu zote, chaguo hili linaenda kwa mjomba wangu lee empire kivuruge wake