Tifu la hatari sana, mida ya saa moja hadi tatu usiku hivi, mimi mwenyewe sikuwepo ila niliona post moja hvi mida ya saa sita wakati nimepita hap kf ikanishawishi nirudi nyuma kuangalia kulikuwa na nini