Ahsante mdauView attachment 571293Asubuhi njema na mwanzo mwema wa wiki makapuku wote
Pamoja sana mpendwa wa ObeAsante kwa magazeti
Nawe pia
Pamoja sana mdauAhsante mdau
Leo udaku umemgusa Mange
Siasa furaha ya maskini kuona matajiri wanafilisika imeendelea
Michezo Yanga yatishia nyau Zenji
Uwe na siku njema
.......
Asante kwa magazeti ankaliView attachment 571293Asubuhi njema na mwanzo mwema wa wiki makapuku wote
Morning!Morning family!!