Picha jamanKweli leo umewahi kabla hawajalala c umewaona walivofurahi
Sawa mpendwa wa binamuWazushi hao,wapotezee
Obe una nn lkn
Hivi zile sale bado mnazo au mlizitupantamsindkiza
Binamu umeanza ujue nakuona tuu endeleaMmmmmh, huyu kuelewa hadi alewe kwanza halafu wizara nzima ya elimu iungane na ile ya Znz ndo waje wamueleweshe. Mgumu sana kuelewa huyu, niulize mimi.
Hebu fikiria, mumewe ambaye ni anko wangu ana watoto kama alama za chadema lakini hataki kuamini
Mmmmmh, inawezekana lakini mbona hizo tundu za pua hazina mavuzi!? Mimi zangu zinayo so huyu sio mimi japo tumefanana
HapanaHuyo P ndio wa binamu eenh
Binamu obe halaf nilisahau jana niliongea na Mama alikuulizia anakusalimia sana akaniambia obe haulizi safari ha kuja
Bhinamu nakusalimia
Haya hiyo hiyoBamia ya jang'ombe
Mchukue tu mpendwa wake ukitaka chochote tutakuongezeahuyu binamu yako umgawe tu,
AmeeeeniiiNawe mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote na kwa akili zako zote na kwa nguvu zako zote
MARKO 12:30
Muwe na usiku ulio mwema mlindwe na Damu ya Yesu kristo
Binamu obe halaf nilisahau jana niliongea na Mama alikuulizia anakusalimia sana akaniambia obe haulizi safari ha kuja
Kweli leo umewahi kabla hawajalala c umewaona walivofurahi
Nimeitoa bahat nasibu ...Anko bhana, sasa umenifotoa hata sijala, si ungesubiri nikawa nimemaliza kula. Hii picha kwa wageni ni kipindi niko kwenye ramazani
Leo mapema aliyofurahia ni nini hiyo binamu.....usisingizie watoto bhana, kuwa mkweli kuwa wewe umefurahi zaidi maana leo mapemaaaaaaaaaaaaaaaaa, haina kuamshana usiku mnene kukojoa. Watoto wakilala mapema lazima uwe makini wakojoe kwanza ndipo walale
Aibu ya nini sasa!? Mavuzi ni nywele tu kama nywele na vinyweleo vingine. Labda aibu uone kwenye unyoaji
Leo unamkana mwanaoWazushi hao,wapotezee
Sio pwenu na mpendwa wako ndio huyo P anayemsema mama jj