[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] we binamu jaman aibu naona mieMmmmmh, inawezekana lakini mbona hizo tundu za pua hazina mavuzi!? Mimi zangu zinayo so huyu sio mimi japo tumefanana
Bamia ya jang'ombeKafanana na niniliu
Binamu yako huyo ni nini
[emoji134] [emoji134] [emoji134] we c umeokoka mke mweee
Mweleweshe vizuri tu my mke[emoji3] [emoji3] [emoji3] ni mtoto wa binamu mbona mgumu kuelewa na ww
Leo nimewaonaKweli nawaonyesha pcha hky nawaambia baba huyooo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Shemela umeniponza ujue [emoji134]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] ni mtoto wa binamu mbona mgumu kuelewa na ww
Binamu zako unawajua vizuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wenu na mpendwa wako ndio huyo P anayemsema mama jjWetu huwa hali nyama, ni vegetarian, labda mishkaki tu itokeee
[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaan binamu kufata vyote inatakiwa......fuata maneno sio matendo, ndo anavyowaambiaga wapendwa kanisani
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Binamu tutake radhi Baba D hajafikia huko jaman
Kweli shemela ujue we nicheke tu [emoji134][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3]Binamu yako huyo ni nini
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Obe una nn lkn....mama yao atampokea akiwa mtupu yaani kama juice za Naked Truth
Sawa binamu......fuata maneno sio matendo, ndo anavyowaambiaga wapendwa kanisani
Najtahidi kumuelewesha. Aba watotoMweleweshe vizuri tu my mke