Makapuku Forum

ZIJUE IMANI ZA MATAIFA

Wahindu wana miungu 33 na huwaenzi kwa njia mbalimbali. Mjini Kolkata, India, sanamu za miungu zinatengenezwa kwa ajili ya sherehe kubwa ya "Diwali" inayofanyika Novemba ambapo sanamu za miungu zinatumbukizwa kwenye mto Ganges unaoaminiwa kuwa mto mtakatifu.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…