Tatizo ni kuwa ukifanya ya kuchanganya namba huwa unanisingizia mimi eti sijui hesabu, hata kama nilipataga Z kwenye math lakini X niliiona bila kificho.
Sasa inabidi utumie mbinu mbadala,
shululu leo si hayupo kwake, msingizie kuwa ni yeye ndo anahusika