Nimechoka kuitwa MadengeHaya bwana...
Naona Bitoz mpya... Hongera mkuu
Ray:Bitoz mambo vipi ?Walaa mi hakunigusaa
Hahahaa ungetoa tuRay:Bitoz mambo vipi ?
Bitoz:Fresh tu jamaa angu Ray
Ray: Kaka Bitoz naomba assist
Bitoz: Kwani mimi Messi ?
Ray;Acha ubahili wewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
Siwezi mpe hela hivihivi tu labda angekuwa demuHahahaa ungetoa tu
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Siwezi mpe hela hivihivi tu labda angekuwa demu
Bora nikanunulie pumba mifugo yangu
.....
Kumbe jina madenge ulikuwa hulipendi![emoji1]Nimechoka kuitwa Madenge
Hii avatar ya muda tu nikiipata ya kueleweka iwe yangu au fekelo nitaitumia ila sasa hivi nataka nitumie yangu ilimradi nifiche sura tu
.....
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ungempa tuRay:Bitoz mambo vipi ?
Bitoz:Fresh tu jamaa angu Ray
Ray: Kaka Bitoz naomba assist
Bitoz: Kwani mimi Messi ?
Ray;Acha ubahili wewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
Wewe Ndo umekomaa kuniitaita Madenge siyo silipendi bali nimelichokaKumbe jina madenge ulikuwa hulipendi![emoji1]
Na kweeli jina la madenge sio hadhi yakoNimechoka kuitwa Madenge
Hii avatar ya muda tu nikiipata ya kueleweka iwe yangu au fekelo nitaitumia ila sasa hivi nataka nitumie yangu ilimradi nifiche sura tu
.....
Ndo hivyo yaani maana hii ID tayari ni brand inayojulikanaNa kweeli jina la madenge sio hadhi yako