Ukiweza mruhusu wifey nipige naye practical - show moja tu ya kibabe na roho yangu itapoa. Mengine haya siyajui...
Obe kanizunguka...Naona na ushemeji utakuwa kwishnei sasa. Ngoja tuone itakavyokuwa. Pengine itanibidi nimchochee Shedede huko aliko achochee matunguli ya Kikinga ili haya mapinduzi yadorore!