JiongezeeeNgoja nikazie sijui nutachomolewa[emoji23] [emoji23]
Lee mbona unauza wake za watu? Unaumiza watu ujueKamata fursa huyo huyo
Mtu akifanya ujinga mi nafanya upumbavu....
Sema tu mara nyingi napenda kupotezea
.....
Huyo sio pimbi bana.... Huyo comrade[emoji23] bitoz a.k.a pimbi kwenye ubora wako [emoji23]
Kwema mkuuHabar Za asubuh humu ndani...!!
hapo chacha
Mimi siingilii tenaHajaoa MPE shunie mkuu
Si wameambizana huku wanapewa ...ngoja wakutane na mabushaaLee mbona unauza wake za watu? Unaumiza watu ujue
hapo chacha
Shunie voiceMimi siingilii tena
sijawahi kupata bahati kama hii mimiHaya chati na mm
[emoji23]
Naona kumekucha kamanda...Kwema mkuu
[emoji57] [emoji57]Kamata fursa huyo huyo
Yaani wewe.... Ntakunyanganya dadaangu Unajua! Nilipokupa sikukwambia kwamba ana moyo wa plastic.Hiiii unaujuaa moyooo...njoo pm nikwambie tena
Mkuu hii spidi haijachanamshwaa ...usiofu utaiwezaa na sisi tulianza kwa kulikeKwa speed hii mnayoendA mm kazi yangu itakuwa kulike[emoji16][emoji16]
Na mimi nakuonaaaaKipenziiii rwafiiiikiiiii nskuona nakujuaaa ....