Makapuku Forum

ni kuhusu jina lako hivi linaendana na tabia kama unayo au uliamua tu kujiita samahani lakini
Ha ha ha ha ha ha ha......hilo jina Shunie halina maana yoyote kwangu.. ...kuna rafiki yangu mmoja tulikuwa tunakutana internet cafe wakati huo smartphone hazijaingia alikuwa anajiita hilo jina ...wakati naingia insta nikajaribu kuchagua id nikaijaribu hio ikakubali basi nikaanza kuitumia.... Nilipoingia jf nikaamua kutumia hio hio.....lakini baada ya muda nimeanza kupata mawazo niibadilishe hii Id maana naona kama inaleta maana flani ambayo si nzuri.naomba ushauri wako.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…