Perpendicular
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 1,494
- 1,185
Hahahahahah kumbe umeandika shairi
Mkuu umenena!!Usioe kwa ajili ya papuchi.
HahahaMkuu kuna Lecturer wetu mmoja alikuwa akisema mm kitanda changu kinalaliwa na Degree Nne akikusudia yy Ana Masters na mkewe Pia!! Umenikumbusha iyo kitu bhana
HahahaaaUsijali shemeji, vyeti ataacha nyumbani.
Wana sifa etiHahaha
Umenikumbudha kuna profesa mmoja pale ud alikuwaga anasema yeye nyba yake ina digrio 16
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] jamaa alikuwaga chizi sana yule
Sio Sifa kuwa Kapera mkuu Owa owa owaKashairi kazuri! Lakini hakajafikia uzuri wa ukapera!
Shemeji sio vizuri.Hahahaaa
Apanaa kwa kweli endelee kukaa huko huko
Sawa mkuu mambo ya kujipa pressure nani anayatakaAkaah sitaki shida nikitaka papuchi napata shida iko wapi??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio Sifa kuwa Kapera mkuu Owa owa owa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Shemeji sio vizuri.
Uzuri wa maisha ni FURAHA na Siyo SIFA. Ukiishi kwa kutaka sifa, kuwafurahisha watu au kufuata mkumbo, huchelewi Kufariki!Sio Sifa kuwa Kapera mkuu Owa owa owa
Hayo maneno Uneyatoa wapi? MkuuUzuri wa maisha ni FURAHA na Siyo SIFA. Ukiishi kwa kutaka sifa, kuwafurahisha watu au kufuata mkumbo, huchelewi Kufariki!
Nilizaliwa uswahilini, nyumba ya kupanga inatazamana na Soko, kila tulipokuwa tunahama, tulikuwa tunahamia nyumba zinazolizunguka soko, shule ya msingi niliyosoma ilikuwa kati kati ya mji. kwa sasa ni Koda wa Dala dala kwenye mji wa wazaramu, asilimia kubwa ya rafiki zangu ni wandengereko wazaramu na wale jamaa wa B'moyo. Mimi na maneno ni sawa na Magu na vitisho!Hayo maneno Uneyatoa wapi? Mkuu
Duuh usifanye ghuluu basi kwenye kuzungumza!!Nilizaliwa uswahilini, nyumba ya kupanga inatazamana na Soko, kila tulipokuwa tunahama, tulikuwa tunahamia nyumba zinazolizunguka soko, shule ya msingi niliyosoma ilikuwa kati kati ya mji. kwa sasa ni Koda wa Dala dala kwenye mji wa wazaramu, asilimia kubwa ya rafiki zangu ni wandengereko wazaramu na wale jamaa wa B'moyo. Mimi na maneno ni sawa na Magu na vitisho!