As Salafiyyu91
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 2,537
- 2,544
- Thread starter
- #21
Ukioa Mkuu Mola wako hatokutupa mkono ktk Rizki maadamu uwe unajishughulishaBasi kama kulea mke ni mushkeli hata kuoa sio rahisi, maana aoae hufikiria hilo pia.
Ukioa Mkuu Mola wako hatokutupa mkono ktk Rizki maadamu uwe unajishughulishaBasi kama kulea mke ni mushkeli hata kuoa sio rahisi, maana aoae hufikiria hilo pia.
Uko ni kujitesa na Kujiua Kizazi Mkuu acha iyo kitu ukija kuoa itakutesa Sana Acha, Acha tena AchaRaha tunajipa wenyewe bwana... Tunapiga selfie (puli)
Tuishi kwa Kubebana....basiBasi kama kulea mke ni mushkeli hata kuoa sio rahisi, maana aoae hufikiria hilo pia.
Ukitumia akili vizuri matumizi ya pesa yanapungua.........Hata hivyo mambo siyo tofauti sana maana pesa ndio kila kitu sehemu yoyote.Uzuri wake mipango inapangika na hata upande wa pesa utajua namna ya kuitumia mana migao itakuwa imepungua
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kuoa easy sana hujui tuu
Mlo wenyewe unabadilika sembuse utamu wa maku?Ww unaonekana ni mtu wa kubanjuka Xana!!
Kubebanaje?Tuishi kwa Kubebana....basi
Duuh mkuu una maneno makali we msukuma nn?Mlo wenyewe unabadilika sembuse utamu wa maku?
Kuoa sio lazma utoe Pesa hata kanga, kitenge Unaoa Akhy Tuulize watu wa Pwani tukuambie uende wapi!!!
Kama uko serious ni Pm nikutajie sehemu ukaoe mahari chini ya Laki 3 ila Sharti uwe upande wa Dini uko Vizuri nakusia kitabu na Sunna uwe umekisoma na umehifadhi kiasi chake na uwe na Aqidah iliyosalimika Nadhani utakuwa umenifahamu vizuri!!!Akhi mie nataka nifanye nusra nataka nitafute stara akhi
Ila tatizo wadada wanataja mahari mitaji ya kufungua maduka ya spare na sabubu ni waumin wa Islam Dinnih utasikia wee nipe nusu alafu utanimalizia katika ndoa
Iyo nusu sasa shekh wang ndo unachoka kbsaa
Allah atufanyie wepesi katika kutafuta alie mwema duniani na akhera Amin
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Haya shemeji kuna huyu mdogo wangu ana phd naona atakufaa, hebu fanya fasta.
Kuoa ni sawa na kufuta nyimbo zako ulizonazo na kuacha moja ya kusikiliza kila siku.
Kama utakosea kuchagua hiyo nyimbo utajikuta unavuruga kichwaSi ndio vizuri sasa hapo unapumzisha kichwa
Hahaha gamba limeungana na ngoziJivue Gamba mkuu mbona haya mambo ni mepesi mno!!
Mkuu hizi ni Nasaha na hamasa za kutaka watu waoe!!!HATUSHINIKIZWIII
Kabisaa....HATUSHINIKIZWIII
Alafu Sumbai kuna mmoja ni Lecturer VIP ni ndugu yako maana sito msahau!!!Hahaha gamba limeungana na ngozi
Usijali shemeji, vyeti ataacha nyumbani.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aje na PhD, Kwani nikioa naanzisha chuo kikuu?
Huyo hanifai
Mkuu kuna Lecturer wetu mmoja alikuwa akisema mm kitanda changu kinalaliwa na Degree Nne akikusudia yy Ana Masters na mkewe Pia!! Umenikumbusha iyo kitu bhana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aje na PhD, Kwani nikioa naanzisha chuo kikuu?
Huyo hanifai