Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,505
- 16,006
- Thread starter
- #41
Kwanini Maalim hakuanzisha chama kipya?ACT inamuhitaji Maalim zaidi kuliko Maalim anavyoihitaji ACT. Mwenye shida hufuata choo!
Kwanini Maalim hakuanzisha chama kipya?ACT inamuhitaji Maalim zaidi kuliko Maalim anavyoihitaji ACT. Mwenye shida hufuata choo!
Aliekivuruga chama ni Serikali, na anaesajili vyama ni Serikali, ila anaechagua wanachama wa vyama sio serikali bali ni wenye vyama vyao.Kwanini Maalim hakuanzisha chama kipya?
Dah kwanini? serikali ndio ilimtoa Chadema?Aliekivuruga chama ni Serikali, na anaesajili vyama ni Serikali, ila anaechagua wanachama wa vyama sio serikali bali ni wenye vyama vyao.
Balahau ni jeshi la mtu mmoja, CCM yote mpaka waliostaafu wanatumia nguvu nyingi kumpoteza, ila jamaa mmoja tu amewashinda! unaweza kuona jinsi gani alivo na nguvu ya umma.
Kwani alikuwa Chadema?Dah kwanini? serikali ndio ilimtoa Chadema?
Upi uliouweka wewe? Wewe unanafasi gani ya uongozi ndani ya ACT W. Jenga hoja kwenye mada yako vinginevyo usiingilie jambo lisilokuhusu.utaratibu umetumika?
pumbavuNdugu zangu,
Kwa jinsi mambo yanavyoendelea sasa ni dhahiri Zitto Kabwe kazidiwa nguvu muda mfupi na Maalim Seif na wenzake.Tangu Maalim Seif na wenzake watangaze kujiunga na ACT maamuzi yote yanafanyika Vuga.
Imefika pahala Zitto huitwa ghafla tu Unguja na kuitishwa kikao ambacho hupitisha maamuzi bila kuwepo wajumbe wa ACT toka Tanganyika. Ni dhahiri sasa udhibiti wa masuala ya fedha upo chini ya mshauri Mkuu wa Chama hicho ndugu Seif Sharif Hamad.
Kundi la Sefu wamejifunza baada ya Prof.Lipumba kuwazidi kete ni dhahiri wanataka kuziba mianya yote kisheria,kiufundi na kifedha.Katika kipindi hiki ambacho Zitto yupo "excited" na Siasa za Zanzibar huku akiwa amesaini "blank check" lazima vijana wa Seif watatumia kipindi hiki kumbana hasa ukizingatia Zitto kaamua kuwatenga wenzie kutoka afisi ya Taifa ambao walisota pamoja.
Nimwambie maneno machache ya wahenga "ajizi nyumba ya njaa",hakika unanaswa na mtego wa kawaida sana ambao huenda baadae ukahitaji msaada wa Chama Dola.
Kwani tangu lini watoa mada humu wamekuwa wasemaji wa vyama ama serikali? Kuhusu mdeni wako Kinana anashambuliwa na wenzake sababu zimeekezwa. Nilifikiri shushu mzoefu na msomi usingeuliza swaki la kitoto kama hili.Msitutoe kwenye reli. Mtuambie kwani Musiba = Magufuli? Maana akina Kinana wamelalamika kuhusu Musiba, wanageuziwa kibao kuwa wanamhujumu Rais.
AmevurugwaKwani tangu lini watoa mada humu wamekuwa wasemaji wa vyama ama serikali? Kuhusu mdeni wako Kinana anashambuliwa na wenzake sababu zimeekezwa. Nilifikiri shushu mzoefu na msomi usingeuliza swaki la kitoto kama hili.
Halafu na wewe tujibu zile pesa mlizozioiga ccm na Kinana ulizozidiwa akili ameshakupatia amana yako?
Hata mkiiba kura huku Bara lakini itakuwa ngumu sana kuiba tena Zenji.
Kwa maana hiyo Serikali ya Zanzibar itakuwa ya ACT na baada ya hapo ndio ccm itajua maana halisi ya kuipoteza Zanzibar mikononi mwao na itakavyo kuwa huru na ya maendeleo haijapata kuonekana.
Huyu ni kavhero wa kuhesabu vizibo bado wapo. Wakati wa mkutano mkuu wa mageuzi Marando alitudhihirishia hilo pale aliposema kina mrema walikua watu wa kuhesabu vizibo bar. Naona ndiyo ukachero wa huyu nduvuMkuu wewe ndio unatoka kwenye reli,thread za kina kinana zipo kama 100,unatuletea humu kwenye uzi wa ACT
Naanza kuamini kuwa wewe ni wakala wa ccm,kuwa kachero kama wewe kunahitaji ujitoe fahamu wakati mwingine
Teh te teHuyu ni kavhero wa kuhesabu vizibo bado wapo. Wakati wa mkutano mkuu wa mageuzi Marando alitudhihirishia hilo pale aliposema kina mrema walikua watu wa kuhesabu vizibo bar. Naona ndiyo ukachero wa huyu nduvu