Makao makuu ACT yahamishiwa Vuga kinyemela?

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Posts
17,505
Reaction score
16,006
Ndugu zangu,

Kwa jinsi mambo yanavyoendelea sasa ni dhahiri Zitto Kabwe kazidiwa nguvu muda mfupi na Maalim Seif na wenzake.Tangu Maalim Seif na wenzake watangaze kujiunga na ACT maamuzi yote yanafanyika Vuga.

Imefika pahala Zitto huitwa ghafla tu Unguja na kuitishwa kikao ambacho hupitisha maamuzi bila kuwepo wajumbe wa ACT toka Tanganyika. Ni dhahiri sasa udhibiti wa masuala ya fedha upo chini ya mshauri Mkuu wa Chama hicho ndugu Seif Sharif Hamad.

Kundi la Sefu wamejifunza baada ya Prof.Lipumba kuwazidi kete ni dhahiri wanataka kuziba mianya yote kisheria,kiufundi na kifedha.Katika kipindi hiki ambacho Zitto yupo "excited" na Siasa za Zanzibar huku akiwa amesaini "blank check" lazima vijana wa Seif watatumia kipindi hiki kumbana hasa ukizingatia Zitto kaamua kuwatenga wenzie kutoka afisi ya Taifa ambao walisota pamoja.

Nimwambie maneno machache ya wahenga "ajizi nyumba ya njaa",hakika unanaswa na mtego wa kawaida sana ambao huenda baadae ukahitaji msaada wa Chama Dola.
 
Mshauri Mkuu wa Chama dhidi ya Kiongozi Mkuu wa Chama!!!

Hivi nafasi ya Mama Mghwira ilichukuliwa na nani?
 
zitto akili kubwa, yeye amepiga hesabu akaona kupata ubunge ni nadra. akaona sio nongwa ila akajifanya wazenj kuwapa chama ili kura za urais apate ruzuku na kujihakikishia mshahara mzuri akiangalia upepo wa 2025.

siasa ni biashara nzuri.
 
Mkuu hili la Seif kudhibiti akaunti unalisemaje?
 
Ndugu zangu,

Kwa jinsi mambo yanavyoendelea sasa ni dhahiri Zitto Kabwe kazidiwa nguvu muda mfupi na Maalim Seif na wenzake.Tangu Maalim Seif na wenzake watangaze kujiunga na ACT maamuzi yote yanafanyika Vuga.

Imefika pahala Zitto huitwa ghafla tu Unguja na kuitishwa kikao ambacho hupitisha maamuzi bila kuwepo wajumbe wa ACT toka Tanganyika. Ni dhahiri sasa udhibiti wa masuala ya fedha upo chini ya mshauri Mkuu wa Chama hicho ndugu Seif Sharif Hamad.

Kundi la Sefu wamejifunza baada ya Prof.Lipumba kuwazidi kete ni dhahiri wanataka kuziba mianya yote kisheria,kiufundi na kifedha.Katika kipindi hiki ambacho Zitto yupo "excited" na Siasa za Zanzibar huku akiwa amesaini "blank check" lazima vijana wa Seif watatumia kipindi hiki kumbana hasa ukizingatia Zitto kaamua kuwatenga wenzie kutoka afisi ya Taifa ambao walisota pamoja.

Nimwambie maneno machache ya wahenga "ajizi nyumba ya njaa",hakika unanaswa na mtego wa kawaida sana ambao huenda baadae ukahitaji msaada wa Chama Dola.
Kwa siasa ya Zanzibar zito anatakiwa aendelee kujifunza.seif nijabali pale kisiwani,hivyo nilazima ajifunze vitu,ili hata akiwa bara asitetereke
 
Back
Top Bottom