Makanisa ya kinabii na vifaa vya kiroho

Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
62,718
2,000
Na makotokoro yao wana wafuasi wengi.kuliko wa Mwakasege!

Tena wafuasi wasomi na matajiri sio wajinga wajinga.

Mimi muumini wa Mwamposya nakanyaga sana mafuta na kunywa maji ya upako

Nilikuwa na mitatizo kibao na nilisaidika

Wewe hakijakubana cha kukubana mwenyewe utamkimbia mwinjilisti na kutafuta mtu anayeweza kuondoa hilo tatizo. Ukiwa na magumu huwezi kwenda kwa mwinjilisti hana uwezo huo. Yeye ni kupiga porojo tu
Hahaha na hapo unajiona uko sawa kabisa....?
Kweli wajinga ndio waliwao
 
mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
10,904
2,000
Na makotokoro yao wana wafuasi wengi.kuliko wa Mwakasege!

Tena wafuasi wasomi na matajiri sio wajinga wajinga.

Mimi muumini wa Mwamposya nakanyaga sana mafuta na kunywa maji ya upako

Nilikuwa na mitatizo kibao na nilisaidika

Wewe hakijakubana cha kukubana mwenyewe utamkimbia mwinjilisti na kutafuta mtu anayeweza kuondoa hilo tatizo. Ukiwa na magumu huwezi kwenda kwa mwinjilisti hana uwezo huo. Yeye ni kupiga porojo tu

Imani ni kitu kikubwa sana
Imani huponya
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
28,595
2,000
Ulianza vizuri, lakini pia kumuita Mwinjilisti kuwa ni 'mpiga porojo', ni sawa na kusema kile anachohubiri, yaani injili, ni porojo!
Nasema kuhusiana na uponyaji wainjilisti wengi eneo hill sio Lao no wapiga porojo tu na wachungaji wengi pia eneo hill sio lao eti ohh leteni wagonjwa waje niwaombee!! Yesu aliagiza kuponya wagonjwa so kuombea wagonjwa
Kwenye hili wainjilisti wengi na wachungaji ni matapeli na mabango yao ya karibu mgonjwa tutakuombea
 
Sekibuju

JF-Expert Member
Jul 23, 2012
269
225
Hata hiyo picha ambayo we unafukiria kuwa ni Yesu, si Yesu, hvyo ni bora aweke picha yake tu
 
Mtukutu wa Nyaigela

JF-Expert Member
Sep 4, 2018
3,340
2,000
Na makotokoro yao wana wafuasi wengi.kuliko wa Mwakasege!

Tena wafuasi wasomi na matajiri sio wajinga wajinga.

Mimi muumini wa Mwamposya nakanyaga sana mafuta na kunywa maji ya upako

Nilikuwa na mitatizo kibao na nilisaidika

Wewe hakijakubana cha kukubana mwenyewe utamkimbia mwinjilisti na kutafuta mtu anayeweza kuondoa hilo tatizo. Ukiwa na magumu huwezi kwenda kwa mwinjilisti hana uwezo huo. Yeye ni kupiga porojo tu
kuna watu wanasaidika kwa waganga pia na wanapona matatizo kibao kama yako
je waganga nao ni manabii
 
Sandali Ali

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
3,444
2,000
Uliyoyaandika ni sahihi ila hapo ulipogusia picha ya Yesu ndipo ulipochemka.
Yesu aliishi zaidi ya miaka 2000 iliyopita, na ukirejea historia ya picha(kamera) utagundua kuwa kipindi hicho hapakuwa na camera.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom