Makanisa kemeeni Mkorogo

Makanisa kemeeni Mkorogo

SSH2025_2030

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
9,661
Reaction score
9,814
Kanisa ambalo limekuwa kimya kwenye mambo haya bila kukemea kwa kudai ni mambo binafsi na tena hapa huyu amealikwa kuzindua Albamu ya Mwimbaji wa Injili, inasikitisha mno ningetarajia baraza la wazee wa kanisa wamchunguze kabla hajaalikwa kuja kuzindua, je hapa watoto wetu wajifunze nini kutoka kwa "MGENI RASMI"? mkoyogo2.JPGmkobboo.JPG
 

Attachments

  • mkorogo1.JPG
    mkorogo1.JPG
    175.4 KB · Views: 5,076
ahaaaa...
weupe ni shedaaa kwa wadada na wakaka
Ona huyo kawa kama kinyago cha mpapule.
attachment.php
 
Wakatae tu sadaka za wenye mkorogo tuone
 
mi nilipataga jimama flani linajikorogaa papuchi yaani rangi majununi....nilipomti.a nikabadilisha na namba mazima. yaan ni shidaa
 
Sijaona connection ya mkorogo na makanisa..., asavali ungesema wazazi au walezi. Hawa huishi zaidi na familia kuliko kanisani. Mkorogo sio kitu cha kiroho, ni aina ya kujipodoa tu na huishia mwilini...
 
mimi nikikuona umejichubua nakaa kilometre 1000 na ww lbd kama wataweza kuchubua na papuuc hpo sawa
 
Back
Top Bottom