Makamu wa Rais wa sasa ni sehemu ya Upigaji awamu ya 5

Serekali ilikuwa ya Magufuli sio ya ccm.
Na msimind wakisema madaraja ,elimu bure miundo mbinu mingine na udhibiti wa mifumuko yabei ni juhudi za magufuli,maana wapumbavu nyie mabaya yote ni magufuli na mazuri yote ni ya serikali awamu ya tano.
 
Kwa vile ufisadi wa awamu ya 5 umefinikwa blankenti ya JPM basi watendaji wanataka kuponea kupitia hilo blankenti. Ni kweli kuwa watendaji wote wa awamu ya 5 bado wapo na Inawezekana bado wanaendelea kula kwa urefu wa kamba zao. Najaribu kuimagine urefu wa kamba ya Mpango, imepungua au ndiyo imeongezeka kwa sasa. Au mtoto wa Dada hivi kwa sasa kamba yake ina urefu gani vile....!!?
 
Na msimind wakisema madaraja ,elimu bure miundo mbinu mingine na udhibiti wa mifumuko yabei ni juhudi za magufuli,maana wapumbavu nyie mabaya yote ni magufuli na mazuri yote ni ya serikali awamu ya tano.

Magufuli alikuwa na shilingi ngapi za kujenga miundombinu? Hizo ni kodi za wananchi, lakini wizi na mauaji sio alichoagizwa na wananchi, bali ni utashi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…