Makamu wa Rais wa sasa ni sehemu ya Upigaji awamu ya 5

Serekali ilikuwa ya Magufuli sio ya ccm.
Na msimind wakisema madaraja ,elimu bure miundo mbinu mingine na udhibiti wa mifumuko yabei ni juhudi za magufuli,maana wapumbavu nyie mabaya yote ni magufuli na mazuri yote ni ya serikali awamu ya tano.
 
Ukitaka kudili na Upigaji huwezi muacha Philipo Mpango, huyu alikuwa waziri wapesa hivyo anaujua upigaji wote wa awamu ya 5 na ni mnufaikaji mkubwa, tunapo sema tunapambana na Ufisadi mtu kama Philipo Mpanho na pia katibu mkuu Wizara ya Pesa enzi hizo bado wako kazini.

Watanzania tusipo kuwa serious na nchi yetu tutaumia sana na huenda watoto wetu wakaja kuishi maisha magumu sana huku watoto wa Wapigaji wa sasa wakiwa tena ndo viongozi wao, angalia kwa sasa mtu kama Ridhiwan, yule Kijana wa Pinda hawa ni wanufaikaji wa ufisadi awamu zilizo pita na ndo hao wanatuongoza sasa na huenda watoto wa Ridhiwani wakaja kuongoza watoto wetu sisi tupo tu tuna chekacheka
Kwa vile ufisadi wa awamu ya 5 umefinikwa blankenti ya JPM basi watendaji wanataka kuponea kupitia hilo blankenti. Ni kweli kuwa watendaji wote wa awamu ya 5 bado wapo na Inawezekana bado wanaendelea kula kwa urefu wa kamba zao. Najaribu kuimagine urefu wa kamba ya Mpango, imepungua au ndiyo imeongezeka kwa sasa. Au mtoto wa Dada hivi kwa sasa kamba yake ina urefu gani vile....!!?
 
Na msimind wakisema madaraja ,elimu bure miundo mbinu mingine na udhibiti wa mifumuko yabei ni juhudi za magufuli,maana wapumbavu nyie mabaya yote ni magufuli na mazuri yote ni ya serikali awamu ya tano.

Magufuli alikuwa na shilingi ngapi za kujenga miundombinu? Hizo ni kodi za wananchi, lakini wizi na mauaji sio alichoagizwa na wananchi, bali ni utashi wake.
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom