Makamu wa Rais Dkt. Mpango katika ziara yake Ureno

Shabani Ajaha

Member
Joined
Aug 18, 2021
Posts
78
Reaction score
60
UVCCM_ TAIFA
JUNI 30, 2022
LIBSON_ URENO

PICHA NA MATUKIO MBALIMBALI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. PHILIP ISDOR MPANGO akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Ureno, Mhe. Marcelo Rebelo de Sousa na baadae kufanya mazungumzo katika Ikulu ya Ureno Mjini Libson.

#AlipoMamaVijanaTupo
#2022ShirikiUchaguziKwaUadilifu
#2022JiandaeKuhesabiwa
#KaziIendelee

IMG-20220630-WA0062.jpg
 
View attachment 2277309
Sahivi nchi inatafunwa haswa, kila siku safarini
 
Kwa hiyo vijana wetu wa Uvccm Taifa, jukumu lenu kuu kwa sasa ni kuwasifia tu viongozi wenu wawapo katika ziara zao za nje!

Yaani mnfanya kazi ya uchawa, badala ya kutumia nguvu kubwa kwenye kukijenga chama! Ngoja 2025 ifie! Haki ya nani hamtaamini matokeo ya uchaguzi mkuu, iwapo tu Tume Huru ya uchaguzi itapatikana kabla ya wakati huo kuwadia.
 
Cha kusahngaza sisi hatutembelewi na wageni wa aina ya Rais/Makamu/PM toka nje ya nchi. Yelewi, kuna shida.
Watanzania ni watu wa ovyo sana Marehemu Magufuli aliamua kukaa ndani ya bila kusafiri mkamsema sana hawa wa sasa wanapiga route mnawasema tena,mnataka viongozi wetu wafanye nini?
 
UVCCM_ TAIFA
JUNI 30, 2022
LIBSON_ URENO

PICHA NA MATUKIO MBALIMBALI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. PHILIP ISDOR MPANGO akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Ureno, Mhe. Marcelo Rebelo de Sousa na baadae kufanya mazungumzo katika Ikulu ya Ureno Mjini Libson.

#AlipoMamaVijanaTupo
#2022ShirikiUchaguziKwaUadilifu
#2022JiandaeKuhesabiwa
#KaziIendelee

View attachment 2277309
Sawa ni International diplomacy. Lkn Tanzania na Ureno wapi na wapi ?
 
Muacheni atembee maana mama ka mbana ile mbaya yani hata kumuwakilisha nje ya nchi alikuwa ana mtuma Huseni muinyi duh!!!
 
Kwa hiyo vijana wetu wa Uvccm Taifa, jukumu lenu kuu kwa sasa ni kuwasifia tu viongozi wenu wawapo katika ziara zao za nje!

Yaani mnfanya kazi ya uchawa, badala ya kutumia nguvu kubwa kwenye kukijenga chama! Ngoja 2025 ifie! Haki ya nani hamtaamini matokeo ya uchaguzi mkuu, iwapo tu Tume Huru ya uchaguzi itapatikana kabla ya wakati huo kuwadia.
Uchawa unalipa sana hapa Tz kwa sasa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom