Papaa Mobimba
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 980
- 3,646
Mwenyekiti wa @ACTwazalendo ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ndugu Othman Masoud Othman (OMO) amesema kuwa
“Kama tunataka mageuzi katika nchi hii hatuwezi kukaa kitako tukafunga mikono tukasema kwamba mageuzi yatakuja, hawako huko watu kwenda Mahakamani tu kwenda kusikiliza kesi mmesikia ndio CCM hiyo, leo jambo la kawaida lakini limefanywa jinai na baada ya kutumia hizo njia za jinai na sheria za nchi yetu mpaka imeiondolea heshima nchi yetu, hakukua na sababu ya kumchukua mtu kwenda kumtesa, kwenda kumdhalilisha mwanamke!
Nchi hii inaongozwa na mwanamke, mwanamke anavuliwa nguo, anadhalilishwa chini ya utawala wa Rais Mwanamke ni aibu, ni fedheha kwa sababu sio sheria za nchi yetu, sio utaratibu, sio ustaarabu wa kiulimwengu”