Makamu mkuu wa Chuo UDSM Prof.Rwekaza Mukandara muda wako umeisha!

Chum Kane

JF-Expert Member
Sep 16, 2013
1,142
945
Makamu mkuu wa Chuo Prof.Rwekaza Mukandara muda wake wa uongozi ulishakwisha,cha ajabu bado anaendelea kung'ang'ania Madaraka.

Chuo kikuu ambacho kinatakiwa kuwa taswira ya jamii kinapoonesha kuwa hakijali utaratibu raia wa kawaida na serikali watajifunza nini?

Au pale UDSM hakuna watu wanaoweza kuongoza isipokuwa Prof Mukandara?Nini kifanyike?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom