KISHINDO JF-Expert Member Jun 23, 2013 2,113 1,798 Nov 19, 2017 #1 Naombeni msaada wa kujua kampuni za nje ya nchi zinazouza magari manual-yaliyotumika (used). Natanguliza shukrani zangu kwenu nyote.
Naombeni msaada wa kujua kampuni za nje ya nchi zinazouza magari manual-yaliyotumika (used). Natanguliza shukrani zangu kwenu nyote.
chardams JF-Expert Member May 1, 2012 2,439 1,734 Nov 20, 2017 #3 Nenda Gumtree UK, hapo utapata magari ya manual kibao
BlackPanther JF-Expert Member Nov 25, 2015 9,020 8,481 Nov 20, 2017 #4 Tatizo hili li-nchi linanatuumiza mno maushuru. Nje gari kibao na heavy,, ukija kwenye ushuru unaambiwa ulipe mara tatu yake/unapata gari mbili ama tatu kama hiyo ulonunua. Umasikini utaendelea kuwepo.
Tatizo hili li-nchi linanatuumiza mno maushuru. Nje gari kibao na heavy,, ukija kwenye ushuru unaambiwa ulipe mara tatu yake/unapata gari mbili ama tatu kama hiyo ulonunua. Umasikini utaendelea kuwepo.
chardams JF-Expert Member May 1, 2012 2,439 1,734 Nov 20, 2017 #6 BlackPanther said: Bora nihamie kenya Click to expand... Unasubiri nini?