Makampuni yauzayo manual cars

KISHINDO

JF-Expert Member
Jun 23, 2013
2,105
1,795
Naombeni msaada wa kujua kampuni za nje ya nchi zinazouza magari manual-yaliyotumika (used).

Natanguliza shukrani zangu kwenu nyote.
 
Tatizo hili li-nchi linanatuumiza mno maushuru. Nje gari kibao na heavy,, ukija kwenye ushuru unaambiwa ulipe mara tatu yake/unapata gari mbili ama tatu kama hiyo ulonunua. Umasikini utaendelea kuwepo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom