Hawa jamaa wa Halotel walianza vizuri lakini siku hizi dah.! Hakika ilikuwa karibu mgeniKitu halotel bwana...Wanakupa MB kibao Ila zinavyoserereka mungu pekee ndio anajua
Voda wezi
Walikua wanataka kupenya ktk soko kwanza...tukishawakubali ndio waonyeshe makucha yao....ni bora MB 70 za Tgo ama VODA kuliko MB 200 za HalotelHawa jamaa wa Halotel walianza vizuri lakini siku hizi dah.! Hakika ilikuwa karibu mgeni
Juzi nimekwenda kulala nikiwa na MB 860..........nimeamua asubuhi na washa data baada ya kuwasha data na pata ujumbe umebakiwa na MB 197 nikachoka kabisa......baada ya dakika 10 hivi nikiwa naperuz bila kupakia chochote na pata sms nyingine umebakiwa na MB 43.
Nikajiuliza Mbona bando la mtindo huo huo kipindi cha miezi sita iliyopita lilo kuwa lina nichachia. ......what went wrong....harafu promosheni nyingine bwana eti umepata dakika 4 bule kupiga simu BLAZIL na CHINA.
Aliyewaambia nina ndugu huko nani?

Hahaa! Wamekuona kilaza. Ni kweli hujui tofauti ya l na r ndio maana wamekuibia. Pole, huko shule ulienda kusomea ujinga? Neno halafu wasema harafu, Brazil wasema Blazil
Tena Tigo wana kamtindo kamoja kachafu kweli....unakuta umeweka vocha yako unajiunga umefuata process zote za kujiunga kifurushi husika umemaliza km una haraka unaanza kutumia Huduma ukijua wenzio washakuunganisha kumbe wenzio wana-delay ili wale hela yako bureee.....unashangaa kifurush kimeisha within a second....Tgo wana too much delay ktk kuunganisha vifurushiHakuna afazili aiseee!! Huko Tigo nako ni kizaazaa, juzkati nilweka 1000, wakati naangalia salio ili nijiunge nilikuta tsh 1 huwezi amini, nlvyo waulza wakasema eti nlkopa, jamaa wanatufanya bure kabisa.