Mbona wapo wanaonunua hadi salio la 500,000 na wanatumia ala sio ka makosaHaiwezekani eti mtu umenunua salio kwa tigopesa ukakosea badala ya 2500 ukaweka 250000 alafu wakakukata salio la laki mbili na nusu...
Dogo skia inatakiwa hawa mitandao wawe na system zenye ubunifu hata mteja akikosea kuwe na namna ya kutatua. Hakuna kitu ambacho hakina utatuzi huu ni wizi tu.Mbona wapo wanaonunua hadi salio la 500,000 na wanatumia ala sio ka makosa. Kwahiyo makosa yako wewe sio wizi kwao, hapo fanya utafte wakala uongee nae mfanye biashara hata akikupa 150k ushukuru, au kama upo chuo wauzie wenzio hotspot hakuna atakae kurudishia vocha kuwa hela ya mpesa mkuu.
pole sana.
sawa braza endelea kupunguza hasira ila washalipia VAT na kila kitu kwenye huo muamala, watafte na wa VAT nao wambie wamekuibia. mistake haiwezi kuwa error japo error ni mistake.Dogo skia inatakiwa hawa mitandao wawe na system zenye ubunifu hata mteja akikosea kuwe na namna ya kutatua. Hakuna kitu ambacho hakina utatuzi huu ni wizi tu.
Uko right kabisa kaka mkubwa,tatizo ni sisi tunaona Kila kitu ni sawa tu bila wasi.Haiwezekani ukakosa mechanism yakurudisha salio la kawaida kwenda kuwa pesa. Hiyo kazi hata nikiwapa vijana wangu wa UDOM wasuke izo algorithm ni chap tu .Dogo skia inatakiwa hawa mitandao wawe na system zenye ubunifu hata mteja akikosea kuwe na namna ya kutatua. Hakuna kitu ambacho hakina utatuzi huu ni wizi tu.
Pumbavusawa braza endelea kupunguza hasira ila washalipia VAT na kila kitu kwenye huo muamala, watafte na wa VAT nao wambie wamekuibia. mistake haiwezi kuwa error japo error ni mistake.
usiponielewa hapo ndio basi tena.
Huna akili kweli? Mbona benki transaction za makosa huwa zinarudishwa? Na TRA hawakati VAT. Wewe kumbe ni limbukeni miamala ya kifedha ya benki ikikosewa(debit) huwa inakatwa hadi VAT ila huwa inarudishwa(credit) na makato yanaondolewa unapewa hela yako kama ilivyo boya kweli.sawa braza endelea kupunguza hasira ila washalipia VAT na kila kitu kwenye huo muamala, watafte na wa VAT nao wambie wamekuibia. mistake haiwezi kuwa error japo error ni mistake.
usiponielewa hapo ndio basi tena.
Kwani Tigopesa ukikosea kutuma pesa kwa mtu mwingine hawakurudishii ?Huna akili kweli? Mbona benki transaction za makosa huwa zinarudishwa? Na TRA hawakati VAT. Wewe kumbe ni limbukeni miamala ya kifedha ya benki ikikosewa(debit) huwa inakatwa hadi VAT ila huwa inarudishwa(credit) na makato yanaondolewa unapewa hela yako kama ilivyo boya kweli.
Huu ni ujinga sana yani eti ukikosea ndo imekula kwako. Yani hawa jamaa wameweka hii loophole kituibiabia imagine watu wangapi huwa wanakosea hapa kwenye salio.Uko right kabisa kaka mkubwa,tatizo ni sisi tunaona Kila kitu ni sawa tu bila wasi.Haiwezekani ukakosa mechanism yakurudisha salio la kawaida kwenda kuwa pesa. Hiyo kazi hata nikiwapa vijana wangu wa UDOM wasuke izo algorithm ni chap tu .
Kwaiyo nikosee kutuma salio la millioni 80 alafu uniambie huna solution ya kunirudishia eti ni kosa langu ndo nini?Kwani Tigopesa ukikosea kutuma pesa kwa mtu mwingine hawakurudishii ?
Mbona ni akili ndogo sana inahitajika hapo mkuu ?
madiniDogo skia inatakiwa hawa mitandao wawe na system zenye ubunifu hata mteja akikosea kuwe na namna ya kutatua. Hakuna kitu ambacho hakina utatuzi huu ni wizi tu.
Sawa ngoja siku utingwe na mambo mengi kichwani ndo utajua. Biashara duniani watu wanafanya kwa kuaminiana tu hata hawajuani ila wanatumiana hela na mizigo inafika sembuse nikosee vocha uniambie eti huwezi kunisaidia wakati hela yangu iko kwako kenge kweli tapeli mbwa.ndio ukosee masifuri mawili????
hapo unaonekana kweli hukuwa serious!
Hebu imagine siku una stress zako unaamua uingie kwenye bank app ununue salio akili ina mambo mengi ukajikuta unawaza ma control number ya serikali ukajikuta umenunua salio la millioni 70 alafu unalipigia simu jitu la customer service kuliambia lirekebishe linakujibu eti haiwezekani "nyokonyoko" huu ni wizi kama hamna algorithm nyepes kama kudeal na vitu vidogo kama hivi nyie ni vibaka tu hamsahili hata kupewa leseni ya mawasiliano