Makampuni ya simu mengine yanakosa uaminifu?

davetz28

JF-Expert Member
Dec 17, 2017
543
617
Wadau naomba kuuliza maana naona Kama makampuni haya yanawaibia wateja.Mimi natumia mtandao was tigo lakini kwa wiki Sasa wamekuwa wakipunguza data Mara baada ya kujiunga hata vifurushi vya internet.Nawaza kuitupa line yangu kwa kuwa waliwahi kuwa na hii tabia na wakaacha na Sasa wameanza tena,
Kwanza Kama umenunua kifurushi Cha shilingi elfu moja kwa thamani halali ya pesa kwa nini kina expire wakati nimenunua? Huo no wizi tu,ukinunue uwe na Uhuru wa kutumia sio kulazimisha kutumia kwa kuogopa kuexpire kifurushi
 
Yani dhambi sana hao watu wa hayo makampuni!

Saa yeyote wakiamua kukumalizia dakika au MBs zako wanazikata wapendavyo na hivi hakuna third party wa kuweza kuwazuia ndo mtihani!
 
Back
Top Bottom