Makampuni 210 ya Clearing & Forwarding yasimamishwa kutoa huduma na TPA

Kweli mkombozi kapatikana,yaani Jk alikuwa haoni haya?,kweli kagame alikuwa anamaanisha alicho kinena
 
Ndio tusha yafuta hivyo
 
Kulaleki mjini watu wataheshimiana sn
Ila wenye haki walopoteza kazi zao maskinii pole yao
 
Narudia tena usipende kuokota maneno kwenye vijiwe vya mbege na kuleta JF.

Wasaidie TRA hizi details zako wawakamate Silent, kingine nakushauri tafuta kazi ufanye uwezi kuwa na chuki na roho ya husda ukafanikiwa mkuu.

Hizi kampuni zote zimeshindwa kuwataja Silent ila wewe punguani ndiyo unajua daah!!.

Kweli wewe mzee wa porojo na data za kwenye vijiwe vya mbege.
 
Ndio ni wezi tu,tena wafikisiwe maana haya makampuni yamefutwa jamaa wataanzisha mapya na huenda yashaanza
 
Ndio ni wezi tu,tena wafilisiwe maana haya makampuni yamefutwa jamaa wataanzisha mapya na huenda yashaanza
 
Kwani zile gari zenye plate number E zinawabeba watu gani ?? Si ndio wanatajwa kuhusika na kusafirisha Twiga ??
 
Unajua katika bandari kavu zote waliweka matawi ya benki ya CRDB so wakati wa kulipia port charges unajaza bank slip then unawapa hela wao wanakupa ile slip usaini then cashier wa bank anaipeleka mwenyewe kwa accountant wa TPA so sometimes walikuwa wanacheza na watu wa bank na sometime walikuwa wanacheza na mawakala. that is all about
 
Hizi comments mbili zinatoa picha tofauti za kinachojadiliwa na kuweza kuona mawakala wako upande gani wa mgogoro huu.
Binafsi sitetei uvunjaji wa sheria na ninachoweza kusema ni kuwa waathirika wanalipa gharana za maslahi ya walioasisi na kuusimamia ufisadi huu. Wengine wanasema ni chama kinachoendesha nchi, wengine wanasema ni awamu iliyotangulia nk. Lililo wazi ni kuwa nchi imefikishwa pabaya. Refer maneno ya Mh. Mnyika kuwa "tumefikishwa hapa na udhaifu wa serikari, tumefikishwa hapa na udhaifu ......"

 
Hii safisha safisha itakuwa na manufaa kwa baadae, japo sasa kila mtu ataisoma namba
 
Raisi Magufuli alisema kwamba Wapinzani hawataweza kushinda Uchaguzi na kuingia Ikulu kwa sababu wao (CCM) wanayafanya na kuyatekeleza yote ambayo wanayalalamikia!
Swali ni je, magufuli atakua rais awamu ngapi? Na kama mbili Vipi yule atakayemfuata atakua kama yeye?
 
Go gooo Magufuli,wewe mbele sisi nyuma,Mungu aendelee kukulinda na kukupa ujasiri wa kupambana hii vita.
Mm ananidhi kitu kimoja. Anadili na vijichunusi. Natamani aguse lile jipu maana naliona limeiva kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…