Ni kweli brains mpya zinahitajika kwenye hili shirika. Sasa je, ndani ya Serikali zipo? Au ni za ku-hunt nje ya mfumo wa Serikali? Kama ndivyo, mnakumbuka ya akina CEO wa TIC? NHC? TPDC? Labda tusubiri hao waTz 50,000 wanaotarajiwa kuwa deported na Trump huenda vichwa vikapatikana humo; cheap labor.False start at ATCL; Ni bora hizo nyingine zilizoagizwa wangesubiri kidogo ili ATCL ijipange vizuri zaidi kiutendaji kwani ATCL ilishakufa zamani sana kwa hiyo hata watendaji wake wengi ni Obsolete kabisa, hawajui kinachoendelea kwenye Airline industry; wameshaota kutu wanasubiri kukatika kama chuma chakavu!
Tufanyeje Ndugu,Firewall gani itumike?Napendekeza tuuze shares lakini serikali ibaki na majority shareholding,labda hao shareholders watasaidia mawazo mapya na kuvuruga hiyo michongo.Zote hizo ni sawa na kufunga Ac chumbani ili utumie blanketi kama kwenye bongomuvi. Kisha unaanza kutafuta dobi mzuri kufua mablanketi na fundi mzuri kuhudumia Ac.
Hasara inaanziaga kwenye wazo halafu inatengeneza mfumo wa domino kwenye utendaji.
Hivi kama unamtoto anasafir labda kwenda mkoani na ww unamabasi utamruhusu apande mabasi mengineAmuagiza Mkurugenzi kubadilisha safu yake mara moja.
Aonya watu waache upigaji wawe waadilifu.
Marketing Department yakosolewa. Awataka ambao hawawezi kuendana na kasi inayotakiwa wakae pembeni.
Asema wafanyakazi wa serikali watumie ATCL kusafiri Posta na TTCL zijiandae.
My take..
Kwakweli Marketing Department ya ATCL ni mbovu sana, namuunga mkono. Nenda twitter account yao au hata website yao. Dah! Inasikitisha.
----------------------------------------------------------
Zanzibar ASP Ameongezea maoni yake hapo chini...
Tatizo la ATCL ni kubwa sana kuliko vile watu wanavyodhania.Ni shirika lililoanzishwa kisiasa, Linafanya kazi kisiasa, Lilikufa kisiasa na sasa linafufuliwa kisiasa. Siasa na Biashara ni kama Maji na Mafuta, huwa haviendani kabisa.Yaani, Waziri Mzima anasema, uwekwe utaratibu ili wafanyakazi wa serikali wanaposafiri kwa Ndege basi Walazimishwe kupanda ndege za ATCL pekee!! Sijui kama waziri anajua athari za kauli yake kwa makampuni mengine ya ndege, Ubora wa Huduma za ATCL, Wajibu wa mfanyakazi wa serikali nk.Sijawahi kuona siasa ikifanikisha biashara.Ni suala la muda tu, ATCL itakufa tena, na tutaendelea kumsaka mchawi milele.... Anayeiloga ATCL ni serikali yenyewe.
Chanzo: TBC 1
Ni kweli brains mpya zinahitajika kwenye hili shirika. Sasa je, ndani ya Serikali zipo? Au ni za ku-hunt nje ya mfumo wa Serikali? Kama ndivyo, mnakumbuka ya akina CEO wa TIC? NHC? TPDC? Labda tusubiri hao waTz 50,000 wanaotarajiwa kuwa deported na Trump huenda vichwa vikapatikana humo; cheap labor.
Kuna brains nyingi sana zipo private sector... Wakipewa nafasi Hapo ATCL inabadilika mara moja...Ni kweli brains mpya zinahitajika kwenye hili shirika. Sasa je, ndani ya Serikali zipo? Au ni za ku-hunt nje ya mfumo wa Serikali? Kama ndivyo, mnakumbuka ya akina CEO wa TIC? NHC? TPDC? Labda tusubiri hao waTz 50,000 wanaotarajiwa kuwa deported na Trump huenda vichwa vikapatikana humo; cheap labor.
Brains za private sector sio za mishahara ya 1.5 mkuu. Ndio maana nilitoa mifano ya ex-CEO's wa TIC, NHC, na TPDC.Kuna brains nyingi sana zipo private sector... Wakipewa nafasi Hapo ATCL inabadilika mara moja...
Uko sahihi.Tufanyeje Ndugu,Firewall gani itumike?Napendekeza tuuze shares lakini serikali ibaki na majority shareholding,labda hao shareholders watasaidia mawazo mapya na kuvuruga hiyo michongo.
Ungeulizia km ana house girlHivi kama unamtoto anasafir labda kwenda mkoani na ww unamabasi utamruhusu apande mabasi mengine
Amuagiza Mkurugenzi kubadilisha safu yake mara moja.
Aonya watu waache upigaji wawe waadilifu.
Marketing Department yakosolewa. Awataka ambao hawawezi kuendana na kasi inayotakiwa wakae pembeni.
Asema wafanyakazi wa serikali watumie ATCL kusafiri Posta na TTCL zijiandae.
My take..
Kwakweli Marketing Department ya ATCL ni mbovu sana, namuunga mkono. Nenda twitter account yao au hata website yao. Dah! Inasikitisha.
----------------------------------------------------------
Zanzibar ASP Ameongezea maoni yake hapo chini...
Tatizo la ATCL ni kubwa sana kuliko vile watu wanavyodhania.Ni shirika lililoanzishwa kisiasa, Linafanya kazi kisiasa, Lilikufa kisiasa na sasa linafufuliwa kisiasa. Siasa na Biashara ni kama Maji na Mafuta, huwa haviendani kabisa.Yaani, Waziri Mzima anasema, uwekwe utaratibu ili wafanyakazi wa serikali wanaposafiri kwa Ndege basi Walazimishwe kupanda ndege za ATCL pekee!! Sijui kama waziri anajua athari za kauli yake kwa makampuni mengine ya ndege, Ubora wa Huduma za ATCL, Wajibu wa mfanyakazi wa serikali nk.Sijawahi kuona siasa ikifanikisha biashara.Ni suala la muda tu, ATCL itakufa tena, na tutaendelea kumsaka mchawi milele.... Anayeiloga ATCL ni serikali yenyewe.
Chanzo: TBC 1
False start at ATCL; Ni bora hizo nyingine zilizoagizwa wangesubiri kidogo ili ATCL ijipange vizuri zaidi kiutendaji kwani ATCL ilishakufa zamani sana kwa hiyo hata watendaji wake wengi ni Obsolete kabisa, hawajui kinachoendelea kwenye Airline industry; wameshaota kutu wanasubiri kukatika kama chuma chakavu
Kama Magufuli na serikali yake wanataka ATCL ifanye biashara basi serikali imeanza vibaya kwa kuliingilia utendaji wake!! Toka mwanzo ilitakiwa hizo nafasi za uongozi wa shirika zisiwe za uteuzi bali zingetangazwa INTERNATIONALLY na watu kuomba na kuajiriwa kufuatana na vigezo stahiki vya uendeshaji wa mashirika ya ndege duniani. Huu utaratibu wa kuteua watu kuongoza shirika kwa kuangalia loyalty hakuwezi kufanikisha uendeshaji wa ATCL. Kama hili halitarekebishwa haraka hili shirika litazikwa haraka sana na JPM anapata ugonjwa wa moyo bure!!! Msifikirie kuwajaza engineers kwenye uongozi ndio kufanikisha utendaji wa shirika there is more to AIR TRANSPORT than engineering!!!
Hilo natofautiana nawe kidogo.Shirika kwa sasa bado ni Dogo,tunauwezo kabisa wa kuliendesha tukidhamiria.Huwi na ngombe mmoja ukanunua machine ya kumkamua.kuweka uongozi wa nje ni gharama mno.Humuhumu wataalam WaPo,walipwe vizuri watafanya kazi.Cha msingi zibiti upigajiKama Magufuli na serikali yake wanataka ATCL ifanye biashara basi serikali imeanza vibaya kwa kuliingilia utendaji wake!! Toka mwanzo ilitakiwa hizo nafasi za uongozi wa shirika zisiwe za uteuzi bali zingetangazwa INTERNATIONALLY na watu kuomba na kuajiriwa kufuatana na vigezo stahiki vya uendeshaji wa mashirika ya ndege duniani. Huu utaratibu wa kuteua watu kuongoza shirika kwa kuangalia loyalty hakuwezi kufanikisha uendeshaji wa ATCL. Kama hili halitarekebishwa haraka hili shirika litazikwa haraka sana na JPM anapata ugonjwa wa moyo bure!!! Msifikirie kuwajaza engineers kwenye uongozi ndio kufanikisha utendaji wa shirika there is more to AIR TRANSPORT than engineering!!!
Sioni tatizo kwa hili. Hata Wamarekani wenyewe wana Fly America Act..Yaani, Waziri Mzima anasema, uwekwe utaratibu ili wafanyakazi wa serikali wanaposafiri kwa Ndege basi Walazimishwe kupanda ndege za ATCL pekee!!
Chanzo: TBC 1
Nawe uko kundi hilo tu! Nimemuuliza official message ya shirika ilikuwa ni nini? Nawe unasema yale yale anayedai kupelekwa airport toka Arusha. Tangu lini hiyo ikawa ni kazi ya airline. Kama alikuwa hotelini, adai hoteli yake. Akasema eti board member. Yes, ndiyo hiyo taarifa aliyopewa au alihisi baada ya kumuona board member anaingia? Ni nani huyo member maana si wana majina?Umeambiwa ndege ilisubiri board members. Na bado unaongea habari ya majet wind? Au ndo kutetea kila kitu? Hapa ni wazalendo wanalilia shirika linavyo endeshwa kizembe wakati serikali ina nia nzuri ya kulifufua. Bila kubadirisha aina ya watendaji walio na mawazo ya kizamani, hili shirika litarudi kulekule. Kumbukeni hata JK aliapoingia madarakani alikuwa na nia ya kulifufua kwa kiasi fulani. Nakumbuka aliweka mkurgenzi mpya akaingia kwa mbwembwe nyingi. Na mtaji wakapewa over 4b. Waliishia takukuru. Yasije yakajirudia sasa. Serikali iwapime ATCL kila baada ya miezi mitatu ili kama kuna harufu ya uozo urekebishwe haraka na asiangaliwe mtu usoni. Hapa kazi tu.
Wewe unapotukumbusha wateule wa huyo unayemuita JK, mi sikuelewi. Wale waliokuwa kila siku na Defao? Hao ndo JK wako alitegemea wafufue shirika? Hata kwa trilioni wasingefika.Umeambiwa ndege ilisubiri board members. Na bado unaongea habari ya majet wind? Au ndo kutetea kila kitu? Hapa ni wazalendo wanalilia shirika linavyo endeshwa kizembe wakati serikali ina nia nzuri ya kulifufua. Bila kubadirisha aina ya watendaji walio na mawazo ya kizamani, hili shirika litarudi kulekule. Kumbukeni hata JK aliapoingia madarakani alikuwa na nia ya kulifufua kwa kiasi fulani. Nakumbuka aliweka mkurgenzi mpya akaingia kwa mbwembwe nyingi. Na mtaji wakapewa over 4b. Waliishia takukuru. Yasije yakajirudia sasa. Serikali iwapime ATCL kila baada ya miezi mitatu ili kama kuna harufu ya uozo urekebishwe haraka na asiangaliwe mtu usoni. Hapa kazi tu.
Hilo natofautiana nawe kidogo.Shirika kwa sasa bado ni Dogo,tunauwezo kabisa wa kuliendesha tukidhamiria.Huwi na ngombe mmoja ukanunua machine ya kumkamua.kuweka uongozi wa nje ni gharama mno.Humuhumu wataalam WaPo,walipwe vizuri watafanya kazi.Cha msingi zibiti upigaj
Mkuu sio km nimeiweka, ila ndivyo ilivyo. ktk maofisi watu wanaumia sana inapotajwa kaskazini. Kwao ni bora kitu kisifanikiwe kuliko kifanikie akiwepo mtu wa kaskazini. Ndio maana wengi wanakimbilia vyeti kuhalalisha nafasi za upendeleo ila ktk ufanisi, kujituma na kuwa mkweli mwisho wa siku kwa kujiuliza "LEO NIMEFANIKISHA NINI NA KESHO NITAFANIKISHA NINI" hapo hao wasomi wa vyeti vya kuhalalisha nafasi huwa hawajiulizi bil akujidanganya.Japo umeiweka kiukabila ila nakuunga mkono kuna kihoro kikubwa kwa serikali kuipa flag Precision. Na kiko so unfounded. Sana sana na hearsays.
Kama ndivyo, watuokolee hasara (kupoteza kodi zetu kwa mishahara iso tija na ruzuku zisoisha) wafunge hiyo biashara na kupea private sector uwanja huru watoane jasho. Kwetu itakua faida tu.