Makame Mbarawa aiwakia ATCL

Simply amazing

From the beginning unaona kabisa sababu za investment sio sahihi, research sio sahihi, matumizi hayana justification, business model aijulikani, operation model aijulikani, management tia maji tia maji.

Halafu utegemee mafanikio, wakati sababu za kununua ndege ni makelele ya JF kisa Rwanda air.
 
Upo sahihi mkuu.. Nadhani waziri ataupata ujumbe huu
 
Kwa wenye kampuni za utalii huwezi kupanga ratiba za wageni kwa kuitegemea atl maana hakuna siku utakuwa na uhakika wa safari. Kila dakika kuahirisha safari. Wageni wanakosa flight za kurudi kwao. Inakuwa hasara ya kampuni yenye wageni.
True that..
 
Boarding pass zinajazwa kwa wino wa mkono!! Hakuna tiketi kama unapandia uwanjani. Ukienda ofisi zao pale arusha wanasema ndege imejaa, nenda uwanjani ubahatishe kama yupo ambaye hatasafiri. Ukifika kuna nafasi kibao. Unalipa, hupewi tiketi! Pesa zinaingia mifukoni mwao. Wizi wizi wizi. Ushahidi ninao.
 
Tatizo una Invest a lot of money Kwenye taasisi ambayo hujaiandaa kuleta Value for Money..
 
Tangu nizione kwenye sherehe ya kukaribishwa nchi sijaona wala kusikia tangazo sio kwenye radio wala Television. Yaani pamoja na upya wake matangazo ya hizo ndege hamna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani acha tu.. Wameshindwa hata kumlipa millard ayo Buku kumi aweke hata kabango Kwenye ule ubao wake wa umbeya?
 
Kuna mtu alileta uzi alisema hatapanda tena hizo ndege, Akisema waliambiwa ndege haiwez kutua arusha so wajigharamie gharama zao kwenda KIA alaf kufika kia wakawekwa 3hours kusibir crappy board members...
Kifupi hizi ndege hazina mwisho mzuri.....
Nani atapanda ndege zinazotishia wateja? Soon wataanza kuwatumbua mpaka wateja wao
 
lazima mchwa watimuliwe kwenye management. ceo mpya asiwe mwoga akiwaamini tu hao wapiga dili amekwisha. kwanza wengi ni wazee wamechoka wanachoweza tu kuiba hela ndefu. hawana uchungu na nchi uzalendo wala weledi.
 
lazima mchwa watimuliwe kwenye management. ceo mpya asiwe mwoga akiwaamini tu hao wapiga dili amekwisha. kwanza wengi ni wazee wamechoka ni
Aibomoe tu
 
dah mi hiyo pesa ya ndege wangeipeleka kwa reli naona tungepata faida mara dufu tofaut na hy ndege maana hatuna hata kipato cha kupanda hzo ndege bali tungewachia sekta binafsi kujihusisha huko tu..sisi mwend wa kodi tuu
Si wakukurupuka hashsuriki wache imfie mikononi mwake ndio atatulia.
 

Hiyo Kauli ya Zanzibar ASP haina mashiko kabisa! Hiii ni national Carrier. Mtumishi wa serikali hana ujanja ni halali kulazimishwa hivyo maana serikali ndo mtoa pesa. Tusipende kuleta theories za ulaya na huko US ambako watu ni ethical na hata private sector yao iko disciplined. Hapa kwetu private ndo watu wa sabotage. Tangu barabarani, reli hadi meli kule L. Victoria.

Sasa hivi hata kwenda KIA au Mwanza return inafikia 1 million! Hiyo ndo private anayotaka serikali itumie?

Bila kulinda shirika tutaishia kuuza ndege nzima kwa hao wanaojiita private.
 
Kazi si wameanza juzi tu baada ya kujipatia Bombadier.

Hivi utamaduni wa kukosoana barabarani unatija kweli zaidi ya kujitafutia kiki ya bei poa?
Kwa mwanasiasa wakati mwingine ni sahihi. Si unakumbuka tulivyopigwa changa na huyo jamaa aliyeondoka kwa kudanganya eti akaunti za wahujumu zimeshikiliwa? baadaye zikaja hadithi za pesa za EPA na Radar kurudishwa?

Hebu watangaze ili wale ambao hawajakafikiwa, adrenaline ipande.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…