Makame Mbarawa aiwakia ATCL

Ethos

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2015
Posts
2,294
Reaction score
2,111
Amuagiza Mkurugenzi kubadilisha safu yake mara moja.

Aonya watu waache upigaji wawe waadilifu.

Marketing Department yakosolewa. Awataka ambao hawawezi kuendana na kasi inayotakiwa wakae pembeni.

Asema wafanyakazi wa serikali watumie ATCL kusafiri Posta na TTCL zijiandae.

My take..

Kwakweli Marketing Department ya ATCL ni mbovu sana, namuunga mkono. Nenda twitter account yao au hata website yao. Dah! Inasikitisha.

----------------------------------------------------------
Zanzibar ASP Ameongezea maoni yake hapo chini...

Tatizo la ATCL ni kubwa sana kuliko vile watu wanavyodhania.Ni shirika lililoanzishwa kisiasa, Linafanya kazi kisiasa, Lilikufa kisiasa na sasa linafufuliwa kisiasa. Siasa na Biashara ni kama Maji na Mafuta, huwa haviendani kabisa.Yaani, Waziri Mzima anasema, uwekwe utaratibu ili wafanyakazi wa serikali wanaposafiri kwa Ndege basi Walazimishwe kupanda ndege za ATCL pekee!! Sijui kama waziri anajua athari za kauli yake kwa makampuni mengine ya ndege, Ubora wa Huduma za ATCL, Wajibu wa mfanyakazi wa serikali nk.Sijawahi kuona siasa ikifanikisha biashara.Ni suala la muda tu, ATCL itakufa tena, na tutaendelea kumsaka mchawi milele.... Anayeiloga ATCL ni serikali yenyewe.

Chanzo: TBC 1
 
Kuna mtu alileta uzi alisema hatapanda tena hizo ndege, Akisema waliambiwa ndege haiwez kutua arusha so wajigharamie gharama zao kwenda KIA alaf kufika kia wakawekwa 3hours kusibir crappy board members...
Kifupi hizi ndege hazina mwisho mzuri.....
 
Ndio maana waziri amewaka Kweli Leo.. Nadhani ujumbe umefika
 
Ndio maana waziri amewaka Kweli Leo.. Nadhani ujumbe umefika
Unajua saa nyingine mtu ni afadhali utoe pesa nyingi ila upate usafiri reliable, usafiri wa wakati, Usafir ambao wanakujali mteja, ...

Anyway nisiongee mengi, Cjawahi kuzipanda ila wengi waliopanda wanalalamika aisee
 
dah mi hiyo pesa ya ndege wangeipeleka kwa reli naona tungepata faida mara dufu tofaut na hy ndege maana hatuna hata kipato cha kupanda hzo ndege bali tungewachia sekta binafsi kujihusisha huko tu..sisi mwend wa kodi tuu
 
Arusha walikua wanapita na hiace wanatangaza maeneo ya ngarenaro kuhimiza watu wapande hayo madege kipindi yameingia. Pathetic. Ngarnaa??
 
Kuna mtu alileta uzi alisema hatapanda tena hizo ndege, Akisema waliambiwa ndege haiwez kutua arusha so wajigharamie gharama zao kwenda KIA alaf kufika kia wakawekwa 3hours kusibir crappy board members...
Kifupi hizi ndege hazina mwisho mzuri.....
Si ndio wake za .... wetu
 
dah mi hiyo pesa ya ndege wangeipeleka kwa reli naona tungepata faida mara dufu tofaut na hy ndege maana hatuna hata kipato cha kupanda hzo ndege bali tungewachia sekta binafsi kujihusisha huko tu..sisi mwend wa kodi tuu
Au hata kuboresha huduma za elimu hususani madawati
 
Kuna mtu alileta uzi alisema hatapanda tena hizo ndege, Akisema waliambiwa ndege haiwez kutua arusha so wajigharamie gharama zao kwenda KIA alaf kufika kia wakawekwa 3hours kusibir crappy board members...
Kifupi hizi ndege hazina mwisho mzuri.....

False start at ATCL; Ni bora hizo nyingine zilizoagizwa wangesubiri kidogo ili ATCL ijipange vizuri zaidi kiutendaji kwani ATCL ilishakufa zamani sana kwa hiyo hata watendaji wake wengi ni Obsolete kabisa, hawajui kinachoendelea kwenye Airline industry; wameshaota kutu wanasubiri kukatika kama chuma chakavu!
 
Kazi si wameanza juzi tu baada ya kujipatia Bombadier.

Hivi utamaduni wa kukosoana barabarani unatija kweli zaidi ya kujitafutia kiki ya bei poa?
 
Kwa hiyo mkuu unamaanisha body mpya ila chasis na engine ni zile zile mbovu[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Reactions: MTK
Kazi si wameanza juzi tu baada ya kujipatia Bombadier.

Hivi utamaduni wa kukosoana barabarani unatija kweli zaidi ya kujitafutia kiki ya bei poa?
Hapana ndugu ukiona hivyo ujue hali imeshaanza kwenda mrama, So wanawahi mapema kurekebisha kabla hali haijafika mrama kwenyewe.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Kuna mtu alileta uzi alisema hatapanda tena hizo ndege, Akisema waliambiwa ndege haiwez kutua arusha so wajigharamie gharama zao kwenda KIA alaf kufika kia wakawekwa 3hours kusibir crappy board members...
Kifupi hizi ndege hazina mwisho mzuri.....
Shukrani sana jf
 
Kinachofanyika kwenye hilo shirika ni kulihujumu,kwahiyo hayo yanayofanyika ni makusudi ili lisimudu kushindana na wale wengine.
Mmmh... Conspiracy?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…