Mzee utakuja gongewa demu umlaumu lowasalowasa ni mzee wa mikakati,usikute mwenuyekiti wa ZEC kapigwa pesa ndefu aharibu ili uchagiuzi ufutwe,,,,nyie hamshangai lowasa anajifanya hajui kuwa zenj wamefuta uchaguzi,,,,,,,,
lowasa ni mzee wa mikakati,usikute mwenuyekiti wa ZEC kapigwa pesa ndefu aharibu ili uchagiuzi ufutwe,,,,nyie hamshangai lowasa anajifanya hajui kuwa zenj wamefuta uchaguzi,,,,,,,,
Ninaomba Watanzania wenye mapenzi mema na demokrasia kumtangaza rasmi January Yusuf Makamba adui number moja wa Demokrasia Tanzania na Africa nzima! Huyu mtu ni hatari sana kwa ustawi wa demokrasia. CDM mtangazeni kama ADUI mkubwa!Kuna taka na taka ngumu,huyu yupo kwenye kundi hilo la pili,eti ndiye proffessional mastermind wa uchakachuaji ccm!! Poor him
Mkuu hasante sana kwa kuona plan B, alafu pia unaweza ku associated na baraza la mawaziri kutovunjwa, kwani utekelezaji wa plan B, wakati baraza halipo inge leta hitaji la selekali ya mpito.Huyu dogo tokea alipobebwa na Kikwete na kuwa kati bora tano za fisiem, basi anajiona kama makamu wa rais kama sio rais mwenyewe! nyambaf.
Anajua vizuri sana kuwa huu ndio ulikuwa mpango be (Plan B) ya fisiem hata huku bara kwamba iwapo EL angeonekana anamzidi sana Makomeo kwa kiasi cha namba kutoweza kuchakachuliwa, NEc ingetangaza kasoro za upigaji kura kuwa nyingi na hivyo kusitisha mchakato wa kuhesabu na kuchakata kura za urais. Sasa anajifanya hajui!
Hata kutangaza kukata rufaa majimbo 4 bara et na wao waonekane wameonewa na time kumbe ni ujanja tu.
January ndio ameharibu uchaguzi huu... Lowassa MFUNGIE KAZI HUYU KIPARA..!!
I hope Lowassa atamshikisha adabu huyu dogo...!!