Makamba Named 2013 Young Global Leader

Makamba Named 2013 Young Global Leader

Tanzania Daily News (Dar es Salaam)

13 MARCH 2013

THE World Economic Forum (WEF) has named the Deputy Minister for Communications, Science and Technology, Mr January Makamba, one of its 2013 Young Global Leaders (YGLs).

Mr Makamba, who has been recognised for his professional achievements and commitments to society, joins other 198 honourees from 70 countries in the developed and developing world to constitute the YGL Class of 2013.

The honourees, according to WEF, are expected to co-create a community of insight and action that is committed to improving the state of the world. The YGL Class of 2013 is composed of honourees from all sectors, with half of them coming from business and the other from arts and culture, academia, civil society, government, media and non-profits.

Some 42 per cent of the selected leaders are women. Mr Makamba said he was humbled and honoured for the recognition and promised to use the opportunity to learn from his co-honourees and use the knowledge for the development of the country.

A statement issued by WEF shows that 45 of the honourees come from East Asia, Europe (49), Latin America (16), the Middle East and North Africa (12), North America (40), South Asia (18) and sub-Saharan Africa (19).

Drawn from a pool of several thousand candidates, the 2013 YGLs were selected by a committee, chaired by Queen Rania Al Abdullah of the Hashemite Kingdom of Jordan. The choice was based on the proven track record of the individual, his or her leadership experience, ability to overcome adversity and commitment to society.

WEF Founder and Executive Chairman, Klaus Schwab noted that the YGL forum provides a unique effort to engage the younger generation into the management of global affairs, working together and being integrated into the larger Forum community.

The 2013 honourees will become part of the broader Forum of YGL community that is currently composed of 756 outstanding individuals. The selected leaders are to meet at an annual summit to be held in Yangon, Myanmar between June 2 and 5, this year.

sijajua hii info ina maana gani haswa hapa jukwaani, lakini Afrika haitaji tena kuambiwa kiongozi wenu tulimpa vikaratasi hiki sisi wazungu kwa hiyo ni mzuri kwenue waafrica bila justification yeyote ya jitihada za kubadilisha maisha kiulkweli ya Waafrica wenzake.

hizi props za january kwenye western media ni ushamba na kinyume na Afrika ya sasa inayojaribu kudai na kuchukua mamlaka kwenye njia yake ya kiujumla ya kimaendeleo.
 
Mkuu wangu POMPO utanionea tu mkuu wangu ukiniuliza amefanya lipi....mie nampa hongera kwa huko kuteuliwa kwake ingawaje nilishasema kwenye post moja kwamba labda ni mafanikio yake katika matumizi ya social network medias particularly facebook & Twitter-Post #10 !

Kiongozi, wala usipate tabu.

Kama kumbukumbu zangu ni sahihi Director wa World Economic Forum kwa Africa - Elise Kanza - alikuwa mshauri wa rais mambo ya uchumi (IKULU) wakati ambapo January Makamba naye alikuwa Ikulu kama Speech writer wa rais.

Kwa hiyo, hapa ni Director - former colleague wa Makamba, kampigia debe WEF ili apate tuzo. Ni mambo ya namna hii ndiyo hushusha hadhi ya hizo tuzo na hata organisation nzima - WEF.

Makamba ameleta nini kipya kwenye sekta ya science ya technologia tangu apewe unaibu waziri?

Makampuni ya simu bado yanaendelea kuiba mchana kweupe, huduma za simu ni mbovu kutokana na uwekezaji hafifu kwenye infrastructure (simu zinakatika) na hata sasa TCRA wanalumbana na makampuni ya simu kwa sababu kutofuata maagizo ya nchi. Then wanaibuka WEF na kutoa tuzo! kwa lipi?

Haya madai ya kusema anatumia Twitter and god knows what other social media, hivi hiyo ndivyo kazi ya naibu waziri? Nilitegemea angekuja na mawazo ya maana mfano kujenga namna bora ya kufaidi na Fibre optic, kuunganisha shule na ICT etc. Lakini tunaambiwa anatumia Twitter!!! WEF inapoteza mwelekeo!
 
Mkuu kwa hili umegonga utosini. Ndiyo maana hata mimi kwenye post yangu pale juu nikauliza baadaye nikampa congrats kama formality.

Huyu mwanadada aliishi Tanzania kwa miaka mingi, na kama alitaka kupata mtu wa Tanzania, angepata vijana wengine wengi tu wenye MERITS wanazozihitaji.

Kama una kumbukumbu, mchepuo kwa Makamba Jr ulianzia kwenye gazeti la The Guardian la hapa Uingeleza kuandika ka Article kadogo kanakomuhusu kuhusu reporting corruption kwenye jimbo lake kwa njia ya text. Dhumuni lake lilikuwa ni kutengeneza kielelezo ili kipereke mezani kwenye jopo la wachaguzi backed by Elsie Kanza. Ukiuliza, je wangapi wameisha kamatwa kwa njia hiyo, jibu hakuna.

Hizi international organisation zinanuka kwa organised corruption.
 
  • Thanks
Reactions: FJM

Kongozi, huyo binti wa World Economic Forum ni mbongo- pure- na alishawahi fanya kazi wizara ya Fedha.

Na kuhusu organisation World Economic Form na tuzo zake, mwanzoni nilidhani wako makini kwenye utoaji wa tuzo. Lakini kwa hili la Makamba, WEF naona ni wale wale. Kama ulivyosema, kuna vijana wengi sana Tanzania, wanafanya mambo makubwa- bila ya kubebwa au bila ya kujipigia tarumbeta.

Makamba amekuwa obssesed na kujiuza kwenye media za wazungu!. Hizi ni fikra za kikoloni na ni aibu kwa Africa kwamba vijana wa leo wanalamba miguu ya wazungu!
 
Wabongo bwana yani Tatizo letu hatuwezi kuaappreciate kabisa bndo maana hatuendelei Alivyochagulia Mdee mbona mlimpa hongera.Hatuendeli kihivyo kama mtu akipiga hatua tunabaki kukaa na kupiga majungu.
Any way Go go Makamba wacha waendelee kupiga mayowe na majungu daily kisa wivu wa kijinga work up do samthing special sio kila siku kufatilia achivment za mtu na kupiga majungu.
 
Jamani mbona humu JF kuna watu,wanaroho za chuki pasipo sababu za msingi! kijana mwenzio anapata mafanikio unachukia,tene ni wa nchini kwako,kiasi kwamba unaweza uka contact nae na akakupa mbinu za mafanikio yake na kukufanya nawe ufanikiwe.Ache roho za chuki nyie,

Humu jamvini watu wengi wamejawa na chuki za kisiasa,kidini, kikabila na kikanda.Hatufi hivyo jamani tubadilike kama kweli tunahitaji mabadiliko na maendeleo ya kweli.Tuache huu upumbavu wa kuangalia huyu anatoka chama gani,dini gani,kanda ipi au kabila gani,tuangalie anafanya nini kwa maendeleo ya taifa na tumpongeze kwa hilo.tusiendeshwe na mihemko,tunajua kuwa wengine chuki mnapandikiziwa na watu pasipo wenyewe kujua,then mnajikuta kutwa nzima mpo hapa jamvini kutukana watu tu bila sababu za msingi.

Ebu tujaribu kujadili mada husika kwa malengo ya kuwafanya watu wapate faida kutikana na mchango wako,sio kipinga na kushifu tu bila sababu za msingi,eti kisa anatoka chama fulani,au dini fulani,au kabila fulani basi wazo lake au mchango wake utakua feki.TUBADILIKE JAMANI,VIJANA WA LEO NDIO WAZEE WA KESHO,ANZA KUWA NA BUSARA SASA USIJE UKAONEKANA KITUKO UZEENI.
 
Kwanini WEF wamemchagua bila kuwashirikisha Watanzania? Yaani wanamchagua kwa maoni yao? Pumbaf kabisa!
 
Wabongo bwana yani Tatizo letu hatuwezi kuaappreciate kabisa bndo maana hatuendelei Alivyochagulia Mdee mbona mlimpa hongera.Hatuendeli kihivyo kama mtu akipiga hatua tunabaki kukaa na kupiga majungu.
Any way Go go Makamba wacha waendelee kupiga mayowe na majungu daily kisa wivu wa kijinga work up do samthing special sio kila siku kufatilia achivment za mtu na kupiga majungu.

January Makamba si mbunge wa kawaida, na wala hayuko nje ya executive branch. Infact alikuwa mjumbe wa CC ambayo kimsingi ndiyo inatoa maagizo kwa serikali.

Sasa hebu tueleze sisi "wapiga majungu', kama Naibu waziri wa science na Technology, January Makamba ameleta nini kipya? What difference, if any, imekuwepo kwenye ICT tangu huyu 'mpokea tuzo' ya WEF ashike wadhifa? Huduma bora za mawasilino? better access ya ICT kwenye shule zetu? Kuna nini jipya?

I would argue that utendaji wa huyu mwanasiasa kijana ni sawa na Wassira aliyeshindwa hata kutatua ugomvi wa mabucha - you can prove otherwise.

Mwisho, kati ya WEF walioko Davos, na 'sisi wapiga majungu' hapa bongo, nani yuko kwenye better position ya kujua mchango - or lack of it- ya kiongozi wa Tanzania? Hivi WEF wanaweza kujua utendaji wa mwanasiasa wa Tanzania kushinda watanzania wenyewe wanaoishi na huyo mwanasiasa?
 
Depending on their definition of Leadership. Look here, "Mr Makamba, who has been recognised for his professional achievements and commitments to society". Are those Leadership traits?Although leadership is not easy to define, the one characteristic common to all leaders is his or her ability to make things happen. Leadership is the ability to motivate people to act decisively to accomplish mutually desired results. The secret to success as a leader is to find and understand a real problem, then solve it, and to find and understand a real need, then fill it.What have our so called leaders in Tanzania done to prove that they are really leaders.They lack all the traits: TRUSTWORTHINESS, DISCIPLINE, COURAGE, CONFIDENCE, ENTHUSIASM, DECISIVENESS, UNSELFISHNESS, LOYALTY just to mention a few.As a country we have a long way to go to have real leaders. We are "privileged" to have many "vacancy fillers", and not leaders!!Makamba is one of those.... pole sana bwana!!!
I do agree.
 
Kiongozi, wala usipate tabu.

Kama kumbukumbu zangu ni sahihi Director wa World Economic Forum kwa Africa - Elise Kanza - alikuwa mshauri wa rais mambo ya uchumi (IKULU) wakati ambapo January Makamba naye alikuwa Ikulu kama Speech writer wa rais.

Kwa hiyo, hapa ni Director - former colleague wa Makamba, kampigia debe WEF ili apate tuzo. Ni mambo ya namna hii ndiyo hushusha hadhi ya hizo tuzo na hata organisation nzima - WEF.

Makamba ameleta nini kipya kwenye sekta ya science ya technologia tangu apewe unaibu waziri?

Makampuni ya simu bado yanaendelea kuiba mchana kweupe, huduma za simu ni mbovu kutokana na uwekezaji hafifu kwenye infrastructure (simu zinakatika) na hata sasa TCRA wanalumbana na makampuni ya simu kwa sababu kutofuata maagizo ya nchi. Then wanaibuka WEF na kutoa tuzo! kwa lipi?

Haya madai ya kusema anatumia Twitter and god knows what other social media, hivi hiyo ndivyo kazi ya naibu waziri? Nilitegemea angekuja na mawazo ya maana mfano kujenga namna bora ya kufaidi na Fibre optic, kuunganisha shule na ICT etc. Lakini tunaambiwa anatumia Twitter!!! WEF inapoteza mwelekeo!

Vingamuzi hovyo mitandao ya simu taabu tcra hoi sijui kuna nini hapa. Inakera sana kuona upuuzi kama huu
 
  • Thanks
Reactions: FJM
I am not aware what criteria they are using, if Zito, or Mnyika are out of the list, it will be lobbying.

Bumbuli Development Corp imeanzisha Microfinance na tayari imeshatoa 200milion,hao watu wako Mnyika ana nini zaidi ya kuwaza kuandamana! Afadhali Zitto
 
Wapo vijana 198 ....kutoka nchi 70, sasa hii inaumuhimu gani kwa taifa letu kama ni watu 198 kutoka nchi 70 sasa leo kuwa ajenda ni ujinga ......
 
Hongera kwa lipi ambalo amelifanya mpaka sasa hivi!?

Mwaka 2013!? in this march?

Ok vigamuzi vimemshinda ni kwa lipi hasa!?

tunajua wewe ulitamani awe lema, pole hana sifa huyo lema wenu
 
Kwani nyie mnajuaje kwamba hajafanya lolote la maana kustahili hiyo tuzo? Nipeni tochi nitafute nitawapa jibu
 
Jamani mbona humu JF kuna watu,wanaroho za chuki pasipo sababu za msingi! kijana mwenzio anapata mafanikio unachukia,tene ni wa nchini kwako,kiasi kwamba unaweza uka contact nae na akakupa mbinu za mafanikio yake na kukufanya nawe ufanikiwe.Ache roho za chuki nyie,

Humu jamvini watu wengi wamejawa na chuki za kisiasa,kidini, kikabila na kikanda.Hatufi hivyo jamani tubadilike kama kweli tunahitaji mabadiliko na maendeleo ya kweli.Tuache huu upumbavu wa kuangalia huyu anatoka chama gani,dini gani,kanda ipi au kabila gani,tuangalie anafanya nini kwa maendeleo ya taifa na tumpongeze kwa hilo.tusiendeshwe na mihemko,tunajua kuwa wengine chuki mnapandikiziwa na watu pasipo wenyewe kujua,then mnajikuta kutwa nzima mpo hapa jamvini kutukana watu tu bila sababu za msingi.

Ebu tujaribu kujadili mada husika kwa malengo ya kuwafanya watu wapate faida kutikana na mchango wako,sio kipinga na kushifu tu bila sababu za msingi,eti kisa anatoka chama fulani,au dini fulani,au kabila fulani basi wazo lake au mchango wake utakua feki.TUBADILIKE JAMANI,VIJANA WA LEO NDIO WAZEE WA KESHO,ANZA KUWA NA BUSARA SASA USIJE UKAONEKANA KITUKO UZEENI.
Mkuu issue hapa sio chuki wala wivu. Wakereketwa wanataka facts na sio hadithi wala porojo. Achievemets zote za kueleweka za bw. January zingeanikwa hapa sidhani kama kuna mtu angepinga hilo. Kwa kuwa huyo January hana achievements zozote za kueleweka ndio maana watu wanaona hii award kama ni uzushi mtupu
 
Back
Top Bottom