Ndio maisha hayoMakamba amewaambia wanachama wa ccm maneno hayo wakati akiwaaga baada ya kuondolewa kwenye nafasi ya ukatibu mkuu wa chama hicho jana. Mimi ni m1 kati ya watu waliofadhaishwa sana na kuondoka kwa mzee huyu. Amefanya mambo mengi sana yaliyosaidia kukijenga chama chetu! Ni chini ya uongozi wake chama chetu kimetata ushindi mkubwa katika uchaguzi uliopita. Kashfa za ufisadi, Upuuzi wake na mamluki (akina Tambwe) wake ndani ya chama ilisaidia kukipukutisha chama hicho na kuimarisha chetu na nilitamani aendelee kuwepo hadi 2015 ili aendelee "kukijenga" chama chetu. Nimefadhaishwa sana.
Makamba amewaambia wanachama wa ccm maneno hayo wakati akiwaaga baada ya kuondolewa kwenye nafasi ya ukatibu mkuu wa chama hicho jana. Mimi ni m1 kati ya watu waliofadhaishwa sana na kuondoka kwa mzee huyu. Amefanya mambo mengi sana yaliyosaidia kukijenga chama chetu! Ni chini ya uongozi wake chama chetu kimetata ushindi mkubwa katika uchaguzi uliopita. Kashfa za ufisadi, Upuuzi wake na mamluki (akina Tambwe) wake ndani ya chama ilisaidia kukipukutisha chama hicho na kuimarisha chetu na nilitamani aendelee kuwepo hadi 2015 ili aendelee "kukijenga" chama chetu. Nimefadhaishwa sana.
Kiukweli Makamba alikua anatakiwa kuondolewa kabla hata ya uchaguzi wa mwaka 2010 maana hamna alichofanya zaidi ya kua mlopokaji na msemaovyo wa chama....*lisababisha CCm kupoteza jimbo la tarime wkt wa by elections.he has bin tha key player kwenye kuangusha chama.
Makamba amewaambia wanachama wa ccm maneno hayo wakati akiwaaga baada ya kuondolewa kwenye nafasi ya ukatibu mkuu wa chama hicho jana. Mimi ni m1 kati ya watu waliofadhaishwa sana na kuondoka kwa mzee huyu. Amefanya mambo mengi sana yaliyosaidia kukijenga chama chetu! Ni chini ya uongozi wake chama chetu kimetata ushindi mkubwa katika uchaguzi uliopita. Kashfa za ufisadi, Upuuzi wake na mamluki (akina Tambwe) wake ndani ya chama ilisaidia kukipukutisha chama hicho na kuimarisha chetu na nilitamani aendelee kuwepo hadi 2015 ili aendelee "kukijenga" chama chetu. Nimefadhaishwa sana.
Wewe umetumwa weww.....Kifupi Makamba hafai kuendesha taasisi yeyote isipokuwa familia yake.....!! aliprove failure kabisa, hakuna kumpaka mafuta hapa ....."he is nothing but failure":bored:
Wewe umetumwa weww.....Kifupi Makamba hafai kuendesha taasisi yeyote isipokuwa familia yake.....!! aliprove failure kabisa, hakuna kumpaka mafuta hapa ....."he is nothing but failure":bored:
Si kweli, kwa nini wajiuzulu wote kama tatizo ni Katibu Mkuu? Hapa tatizo si mtu, ni system nzima iko corrupt vibaya mno. Watu wamekuwa wavivu wa kuchambua mambo ndo maana tunadhani tatizo ni mtu mmoja. Hv kweli JK anaona mambo hayaendi, CC na NEC wanaona vilevile, hawachukui hatua halafu mtu anasema Makamba. Acheni mzee wa watu apumzike, wala CDM haikumtegemea yeye ili kukua bali ni sera na muundo wake thabiti unaouzika kwa wananchi, hata kama CCM watamweka nani.Nadhani wameona kuwa huyu mzee ndio alikuwa anakipeleka chama kaburini.
Uko sahihi Filipo, Uwepo wa Makamba ndani ya CCM, ulikuwa unaiua CCM na kuvijenga vyama vya upinzani.Makamba kuendelea kuiongoza CCM ilikuwa ni kuviimarisha vyama vya upinzani na kuiteketeza CCM. Nilitegemea vyama vya upinzani visikitike kuondolewa kwa Makamba kwa msingi wa kuwa udhaifu wa golikipa ama benki wa timu pinzani unawapa fulsa wachezaji wa timu nyingine kufunga magori kirahisi.
Mimi binafsi nimesikitika Makamba kuondolewa.
Ni kweli mkuu cdm haikumtegemea makamba kukua ila ni system ya ccm yenyewe HALAFU NADHANI MMESAHAU KUWA HATA MWENYEKITI NI TATIZO KUBWA SANA HAYUPO MAKINI KABISA!Si kweli, kwa nini wajiuzulu wote kama tatizo ni Katibu Mkuu? Hapa tatizo si mtu, ni system nzima iko corrupt vibaya mno. Watu wamekuwa wavivu wa kuchambua mambo ndo maana tunadhani tatizo ni mtu mmoja. Hv kweli JK anaona mambo hayaendi, CC na NEC wanaona vilevile, hawachukui hatua halafu mtu anasema Makamba. Acheni mzee wa watu apumzike, wala CDM haikumtegemea yeye ili kukua bali ni sera na muundo wake thabiti unaouzika kwa wananchi, hata kama CCM watamweka nani.
Wewe umetumwa weww.....Kifupi Makamba hafai kuendesha taasisi yeyote isipokuwa familia yake.....!! aliprove failure kabisa, hakuna kumpaka mafuta hapa ....."he is nothing but failure":bored:
Makamba jana Usiku alisema kuwa asingekubali kujiuzulu peke yake so alisema wote wajiuzulu live tbc aliwachekesha wote ukumbini akiwemo EL (Sikuwahi muona akicheka) na JK Kama kawaida yake wa kwanza kuchekaSi kweli, kwa nini wajiuzulu wote kama tatizo ni Katibu Mkuu? Hapa tatizo si mtu, ni system nzima iko corrupt vibaya mno. Watu wamekuwa wavivu wa kuchambua mambo ndo maana tunadhani tatizo ni mtu mmoja. Hv kweli JK anaona mambo hayaendi, CC na NEC wanaona vilevile, hawachukui hatua halafu mtu anasema Makamba. Acheni mzee wa watu apumzike, wala CDM haikumtegemea yeye ili kukua bali ni sera na muundo wake thabiti unaouzika kwa wananchi, hata kama CCM watamweka nani.
nashukuru Malunde umeelewa vizuri kile ninachomaanisha. Hiki sio kitu cha kufurahia sisi tuliopo upande wa pili. Ni kama kufurahia substute nzuri ya mpinzani wako! Sasa tunatakiwa kujipanga vizuri na kujiimarisha ili tusiyumbe. Wenzetu wamejipanga upya kwahiyo tusidharau wala tusishangilie nao maana inaweza kuwa mbaya kwetu