Makamba Jr: CCM iko imara vyuo vikuu nchini

Ccm vyuoni kama kawa tupoo tumejaaa kama nini. Mtabaki na hayo majungu but ukweli ndiyo huooo.

hahaaa nyie vijana wa nchimbi na komba hamjielewi, endeleeni kulala hizo hostel za UDOM pindi mtakapoamka mtajikuta mpo utupu wa mnyama. endeleeni kutumika kama TP hapo udom. kachukue 7up yako.
 
Without seeing vivid examples and possible data to support an argument, I only discover political heritage from this guy! I realized the truth of Dr.Kitima's proposition that shameful death of CCM is nearby 2015. He was the VC of SAUT-MWANZA and he argued with situational analysis from intellectual experiences, how about Makamba Jr?
Political heritage through ballot box in democratic political landscape?. Siyo ajabu kwako angalizo la Dr. Kitima ndiyo ABSOLUTE TRUE.

Ni kupoteza muda kuanza kujenga hoja na mtu ambaye ni political kindergarten.

Uchekechea wa kisiasa ni tabu tupu.
 
You just hit the point.
Ni kichaa pekee atakaye kuwa kwenye chama cha siasa ambacho hategemei kupata maslahi achilia mbali mwanachuo.

Hii ndiyo dhana nzima ya vyama vya siasa kuuza sera zao kwa wananchi ili wananchi wapime na kuchambua kipi chama kitakacho waneemesha kisiasa, kijamii na kiuchumi (kimaslahi).

Kama unashangaa kwa nini vijana wengi wako CCM, basi inabidi na wao wakushangae kwa kushangaa kambo ambalo ni CRYSTAL CLEAR.
Na wewe nawe eti ni MSOMI?Kipimo cha sera za chama ni maslahi yako binafsi?Kama hii ndio level ya kufikiri ya mtu wa Chuo kikuu,basi tujiandae kupotenza tembo,madini,ardhi na rasilimali zote tunazojivunia!!Oh God help us!
 
MwanaDiwani; My point is not on his representative right as a member of parliament or a Deputy Minister but on the real test of leadership especially on how he faces a crisis and reacts to opposition just like his Father. He tries to hide his grief and resentment over opposition parties but what I see from him is God's command, "Let your yes be yes and your no be no".
 
Last edited by a moderator:
MwanaDiwani; My point is not on his representative right as a member of parliament or a Deputy Minister but on the real test of leadership especially on how he faces a crisis and reacts to opposition just like his Father. He tries to hide his grief and resentment over opposition parties but what I see from him is God's command, "Let your yes be yes and your no be no".
What strike me the most, you seem to cherry pick his persona at the same time, you set aside the fact that he's NEC member and cabinet minister.

Try to peep on big picture and compare with Tanzania political environment. Afterall, he's a politician, not an Angel.
 
Siasa ni kama makanisa kila mtu anaenda anakoamini. Kwani akina Mbowe wamekulia wapi? Kama c mgrfn! Na elimu yangu nije chadema nianze kupelekwapelekwa na kupigishwa viroba! Akaa!

Kwa wenye akili hawata kushangaa kwa kauli yako hiyio kwani ina dhihirisha ni kiasigani ulivyo na uwezo mdogo wa kuchanga nua mambo.
Nivema ukakaa kimya watu wakadhani kuwa unabusara kuliko ukaongea na kudhihirisha upuuzi uliokujaa kichwani mwako. Polesana Bwana mdogo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom