Makamba Asema TTCL Sasa ya Watanzania!

Makamba Asema TTCL Sasa ya Watanzania!

Una ugonjwa wa kukosa uzalendo. Umegeuko mtumwa wa kisaikolojia. Badirika kuwa mzalendo na wachukie watanzania vibaraka wa kuuwa mashirika ya Umma kwa kujinufaisha wao wenyewe.
haiingii akilini shhirika kama TANESCO kujiendesha kwa hasara. naamini NMB na NBC zingekuwa za serikali 100% zingekuwa zimeshakufa.
 
Wait a second, Huyu mwekezaji aliuziwa hizi hisa asilimia 35 bila ya yeye kulipa fedha za mauzo ya hisa hadi leo hii. Mbaya zaidi alitumia resources za TTCL kwa miaka nenda rudi kwa manufaa yake binafsi.

Je, huyu mwekezaji alilipa fedha alizotakiwa kulipa ili kumilikishwa asilimia 35 ya TTCL?Kama alilipa, Serikali inaweza kutueleza amelipa lini,na kupitia valuation gani?

kama hayo hayakufanyika,Kwa nini serikali implipe huyu mwekezaji hewa fedha za hisa alizopewa bila kuzilipa?Na kama wamefanya hivyo wamelipa kwa huyu mwekezaji kiasi gani?

TTCL tumeambiwa ina negative equity, kwa nini kampuni yenye negative equity itoe pesa kumlipa mbia ambaye ni sehemu na sababu ya hiyo negative equity(provided alilipia hisa zake).

Something is not right here.

I sincerely hope Makamba was misquoted.

Si hilo tu Mkuu tumeshuhudia kwenye Mradi wa SONGAS Hisa zaa Serekali zikipotea ahau kuopungua Thamani kw akuw atu serekali ilikataa.kushindwa kuwekeza na Mbia mwenza aliongeza Mtaji, jambo aambalo lilisaabisha Hisa za Serekali kushuka kutokana kutowekeza,

Je kwa uwekezaji wa juzi wa zaidi ya 300Bil ni kwa kiasi gani hisa za TTCL zimepanda kutoka 65% na zile za Aitel zimeshuka kutoka 35%.

Cha muhimu ni wakati sasa kutuuzia WaTanzania hisa za hii kampuni ili nasi tuwe na hisa na tumiliki cha kwetu kama wakenya walivyo na hisa kwenye SafariCom/vodacom.
 
Mkataba ttcl na huawei walioingia ni huawei afunge mitambo ya GSM 2g 3g 4g na lte kote ni mkataba wa zaidi ya 5 years lakini ttcl afanye kazi kwa 2 years kwanza ndo aanze kulipa huo mkopo shirika halijabinafsishwa kwa wachina 50%ya mitambo ya ttcl ni chakavu na ttcl ilikua haikopesheki kokote m bia airtel hakuwai wekeza ttcl kama m bia
 
Waziri January Makamba analiambia Bunge hivi sasa kuwa TTCL sasa imerejeshwa kwenye mikono ya Umma baada ya serikali kununua hisa zilizokuwa zikimilikiwa na mwekezaji Airtel (35%). Nadhani ni jambo jema sana!

hili ni jambo zuri sana, hongera sana Mkamba na hongera serikali yetu.
 
Mnafiki Makamba. Nakumbuka siku Zitto alipokuwa anakusanya sahihi, kwa ajili ya kumng'oa pinda, jamaa alikwepa kusaini japo alikemea ubovu wa mawaziri mizigo.
 
Wafanyakazi wa TTCL wananuka rushwa;hasa mafundi wanaolindwa na mabosi katika huduma za intanet kuharibu,UWAITE MARA X 2
 
Tulitarajia Ttcl kuongoza kwa huduma za simu na tovuti kwa gharama nafuu,wateja wengi na kusambaa kuliko kampuni zote !
 
Back
Top Bottom