Makamba Asema TTCL Sasa ya Watanzania!

Makamba Asema TTCL Sasa ya Watanzania!

Wakuu ! Mnakumbuka mambo ya mjini Dar ? Kama umeibiwa kitu unaenda Gerezani,unatangaza dau,kisha unauziwa mali yako !
 
Wait a second, Huyu mwekezaji aliuziwa hizi hisa asilimia 35 bila ya yeye kulipa fedha za mauzo ya hisa hadi leo hii. Mbaya zaidi alitumia resources za TTCL kwa miaka nenda rudi kwa manufaa yake binafsi.

Je, huyu mwekezaji alilipa fedha alizotakiwa kulipa ili kumilikishwa asilimia 35 ya TTCL?Kama alilipa, Serikali inaweza kutueleza amelipa lini,na kupitia valuation gani?

kama hayo hayakufanyika,Kwa nini serikali implipe huyu mwekezaji hewa fedha za hisa alizopewa bila kuzilipa?Na kama wamefanya hivyo wamelipa kwa huyu mwekezaji kiasi gani?

TTCL tumeambiwa ina negative equity, kwa nini kampuni yenye negative equity itoe pesa kumlipa mbia ambaye ni sehemu na sababu ya hiyo negative equity(provided alilipia hisa zake).

Something is not right here.

I sincerely hope Makamba was misquoted.

This is why i like the KIMWERI'S always think outside the box challlenging the status quo. hope this country one day will have more people who think like you. it is very dangerous for a nation to have these many people who cannot think for themselves
 
Sijawahi kumsifia January Makamba, I have to do anyway,
Fuatilia report ya PAC ina kila kitu. Shirika linadaiwa zaidi ya Bilioni 100. Hivyo serikali imelichukua deni ili ilipe. Na muda huo huo wanaingia mkataba wa kumkabidhi mchina shirika.
Bongo kila kukicha ni majanga tu
 
Wanatia huruma sana TTCL. Hawawezi kujishindanisha kabisa.
 
Kuna ufisadi hapa,hizo hisa 35% lilikuwa dili la watu na wamejilipa kuzirudisha serikalini.
Haiwezekani mtu afilisi shirika na hakulipa thamani ya hisa husika na alipwe tena, huu ni wizi na ufisadi. Kelele za umma zimepelekea mafisadi waliokuwa wananeemeka na TTCL kujifanya wanarudisha hisa kumbe ni ufisadi. Hili halikubaliki hapa kuna ufisadi mkubwa.....naombeni muangalie hadi vile viwanja vya TTCL vilivyogaiwa kwa familia ya mkapa virudishwe na mali za ubinafsishaji zirudi serikalini
 
Waziri January Makamba analiambia Bunge hivi sasa kuwa TTCL sasa imerejeshwa kwenye mikono ya Umma baada ya serikali kununua hisa zilizokuwa zikimilikiwa na mwekezaji Airtel (35%). Nadhani ni jambo jema sana!

Serikari imenunua 35% au inajadiri kununua? Wameuziwa kwa kiasi gani na zimetoka wapi? Mbona tunachangamkia hewa?
 
January Makamba ni Waziri wa nini?
 
Moja Kati ya ushahidi kuwa JM hafai kuwa kiongozi ni performance ya wizara yake akiwa Kama Naibu kashindwa kabisa kutupa sababu ya kuamini vijana wenzetu kwenye nyadhifa zenye zamani, last time I checked alitaka kuruhusu simcard tax hadi tulipo chachamaa ndiyo serikali ikaifuta.
 
Hiyo ttcl toka kitambo huduma zake ziko juu nani atakayetumia huo mtandao wa mafisadi kila siku unakodishwa kuwa pango la wanyang'anyi
 
Kuna ufisadi hapa,hizo hisa 35% lilikuwa dili la watu na wamejilipa kuzirudisha serikalini.
Haiwezekani mtu afilisi shirika na hakulipa thamani ya hisa husika na alipwe tena, huu ni wizi na ufisadi. Kelele za umma zimepelekea mafisadi waliokuwa wananeemeka na TTCL kujifanya wanarudisha hisa kumbe ni ufisadi. Hili halikubaliki hapa kuna ufisadi mkubwa.....naombeni muangalie hadi vile viwanja vya TTCL vilivyogaiwa kwa familia ya mkapa virudishwe na mali za ubinafsishaji zirudi serikalini

Hawa CCM wamezidi utapeli, Yani mnunuzi asiyelipia bidhaa anarudisha bidhaa kwa muuzaji halafu anapewa refund!kweli?

Hivi nyie mlioko TZ, mtu anaweza kwenda Tunakopesha akapewa friji, halafu kabla muda wa kulilipia haujafika, na huyu bwana hajalipia hata shilingi kumi, akalirudisha lile friji Tunakopesha halafu akapewa fedha za thamani ya friji mpya?halafu on top of that analirudisha friji likiwa bovu wala haliwaki?

Hawa wash*nzi wa Airtel walikuja kwa mlango wa kununua hisa za TTCL ila hawakuzilipia, sasa iweje leo hii tuwalipe pesa kwa hisa ambazo wao hawakuzilipia?

Hivi kweli hawa CCM ndio wamekosa Huruma Kiasi hiki kwa watanzania?

Nyie wapinzani mnaona sifa au raha haya mambo yanayoendelea au? I seriously expect better explanation than what has been presented. So far it looks like TTCL was taken for a ride.
 
Makamba kwa kamba!
Kwa kuutaka urais rahisi mwanasiasa anaweza kusema lolote hata kama anajua ni uongo au wizi.
 
Kuna ufisadi hapa,hizo hisa 35% lilikuwa dili la watu na wamejilipa kuzirudisha serikalini.Haiwezekani mtu afilisi shirika na hakulipa thamani ya hisa husika na alipwe tena, huu ni wizi na ufisadi. Kelele za umma zimepelekea mafisadi waliokuwa wananeemeka na TTCL kujifanya wanarudisha hisa kumbe ni ufisadi. Hili halikubaliki hapa kuna ufisadi mkubwa.....naombeni muangalie hadi vile viwanja vya TTCL vilivyogaiwa kwa familia ya mkapa virudishwe na mali za ubinafsishaji zirudi serikalini
Ndugu nani kakuambia shirika limefilisika kabisa, kufilisika maana yake you are no longer fit for business and whatever you do can longer produce benefit sidhani kama wako hapo, hata kwa sasa issue ni mapato yao hayana uwezo wa kulipa madeni lakini wana faida ndogo, ina maana with proper restructuring and a change of business plan things could change so far ni wazembe tu.

Kudaiwa billioni miatatu aina maana huko kwenye negative equity and you can not get out of the lion den, unless labda unaangalia upande wa liability kwenye balance sheet and you escape the book value of the company and existing business. Jamaa wana-monopoly ya land line and a potential to tap and increase business on mobile connection, what is the market value of cellphone industry and how much TTCL could grab of that business annually plus all other potential business opportunities walizo nazo mbona deni ambalo linalipika.

Well unaweza kuwa na muono tofauti ndio maana ya mijadala lakini lazima uangalie mambo kutokana na existing business environment ndio uweze kusema kama kweli hii kampuni imefilisika na uoni watatoka vipi? for me so far its just luck of creativity na kwa madai yao tatizo ilikuwa ni hela ya kuweza kuongeza mikakati ya kibiashara, wamepewa tuwaone sasa watafanya nini.
 
Fuatilia report ya PAC ina kila kitu. Shirika linadaiwa zaidi ya Bilioni 100. Hivyo serikali imelichukua deni ili ilipe. Na muda huo huo wanaingia mkataba wa kumkabidhi mchina shirika.
Bongo kila kukicha ni majanga tu

Well said mkuu - we soma report ya PAC kuhusu mkataba wa Startimes na Shirika la UMMA yaani TBC, maswahibu hayo ndio naona yanataka kuinyemelea TTCL maana Wachina wamekwisha tujulia kwamba Tanzania ni kama shamba la Bibi, ukiwa mjanja tu utavuna mpaka uchoke, wakija kushtuka wewe utakuwa light years away - emulating msemo wa nyumbani "BALIMANYAILA" to a letter! Siwasemi vibaya Wachina lakini tukumbuke Wachina wa leo ni tofauti kabisa na Wachina wa ENZI za Mwenyekiti Mao-Tze-Tung, baadhi ya Wachina waliwahi kunieleza hilo.

Mimi sijui kama Taifa letu limejifunza chochote cha maana kutokana na endemic poblems zinazo yakumba mashirika yetu ya UMMA kila kukicha, hatukosi visingizio - always blaming wageni kwa ujinga wetu wenyewe, nani aliwaleta AirTel/Zain Nchini - mikataba ya Chief Mangugu type as if watu hawajaenda shule, mtu unaweza kufikiri TTCL/Wizara walingia a skewed mkataba wakiwa blind folded/at a gun point! Tulishidwaje kusoma small prints, wakati Taifa linajivunia kuwa na wanasheria walio mahili, baadhi yao wakiwa wame ajiliwa kwenye Shirika la TTCL au kama wengeshindwa kabisa wangeomba ushauri kutoka kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali - Je hayo yalifanyika?

Tuwe wawazi hapa, Watanzania sio wajinga kiasi hicho mpaka wajikute wameingizwa mjini na Kampuni za ZAIN/AirTel bila ya kujitambua - kampuni hiyo ya Kigeni na baadhi ya wafanyakazi waliokuwa wamepewa dhamana ya kuendesha TTCL wakati huo walishirikiana kuandika mikataba ya ku-strangle slowly Shirika letu la UMMA (TTCL), ukimsikiliza Waziri wa fedha alivyo kuwa anaeleza leo, mtu unapata picha kamili kwamba Wahindi hawa walihakikisha wame-plug loopholes zote kwenye mkataba ili TTCL hisifurukute hata wakienda Mahakama/wasuruhishi gani - labda wahamue wenyewe kuhachia shares zao at a give away price ambazo TTCL inaweza ku-afford kuzinunua, bila hivyo wanaweza kutukomalia na kutukwamisha kabisa, you can't blame AirTel - CAN YOU? AirTel sio wajinga hawawezi kukubali kirahisi TTCL iwe mshindani wao katika masuala ya mawasiliano ya simu za mikononi.
 
Ndugu nani kakuambia shirika limefilisika kabisa, kufilisika maana yake you are no longer fit for business and whatever you do can longer produce benefit sidhani kama wako hapo, hata kwa sasa issue ni mapato yao hayana uwezo wa kulipa madeni lakini wana faida ndogo, ina maana with proper restructuring and a change of business plan things could change so far ni wazembe tu.

Kudaiwa billioni miatatu aina maana huko kwenye negative equity and you can not get out of the lion den, unless labda unaangalia upande wa liability kwenye balance sheet and you escape the book value of the company and existing business. Jamaa wana-monopoly ya land line and a potential to tap and increase business on mobile connection, what is the market value of cellphone industry and how much TTCL could grab of that business annually plus all other potential business opportunities walizo nazo mbona deni ambalo linalipika.

Well unaweza kuwa na muono tofauti ndio maana ya mijadala lakini lazima uangalie mambo kutokana na existing business environment ndio uweze kusema kama kweli hii kampuni imefilisika na uoni watatoka vipi? for me so far its just luck of creativity na kwa madai yao tatizo ilikuwa ni hela ya kuweza kuongeza mikakati ya kibiashara, wamepewa tuwaone sasa watafanya nini.

Ndugu, kilichopo mbele yetu siyo "proper restructuring and business plan" bali ni kwa nini kama serikali tununue shares ambazo anayetuuzia hakuzilipia (tulizitoa bure) na tuendelee kukenua meno kwa furaha????? No no no no !!! Ngoja tudai chetu tukipata tutakupa shirika ulifanyie restructuring halafu proper business plan !!!
 
Hivi uoni hata hiyo contradiction kwenye post yako?

Unapotoa share maana yake unagawa part of the business kwa mtu mwingine kama mmiliki au mmbia wa biashara na uwezi ukatoa share kwa mtu kama ajalipia unless labda makubaliano yapo tofauti kwenye mkataba either way kunakuwa na makubaliano ya pande mbili.

Kwa uelewa huo sidhani kama kulikuwa na breach of contract vinginevyo lisingekuwa swala gumu sana hawa watu kuwatoa kama serikari ilipata shida, sasa basi kwa jinsi tunavyofanya mambo there is something which is not said kama kawaida yetu isipokuwa maji yanapokuwa ya shingo huwa tunataratibu za kufanya witch hunt na kuanza kutoa lawana za mwekezaji kachukua mali ya umma kwa utapeli ilihali wenyewe tuliingia makubaliano hata kama hayakuwa na tija wala hayakufikiriwa in long term impact.

Ndio maana it took long to get rid of the shareholder kwa sababu something was difficult to agree due to terms and condition on earlier understanding. That said aindoi uzembe wa fikra za kibiashara kutoka kwa management wao walikuwa wanataka nini kutoka kwa mmbia for their advatange sio mmbia alikuwa anataka nini for their adavtange maana tunajua kafaidika vipi but then what was our rationale if we want to go back historically anyway to uncover the cause of this mishap; sitoshangaa kuja kujua ni matatizo yale yale ya tuliowapa dhamana jana lakini tunataka kuwalaumu wageni kwa uzembe uliofanywa na viongozi to think they are still serving us sijui ni dharau gani.
 
natamani muwekezaji achukue jumla hili shirika, TANESCO, BOT etc.
Una ugonjwa wa kukosa uzalendo. Umegeuko mtumwa wa kisaikolojia. Badirika kuwa mzalendo na wachukie watanzania vibaraka wa kuuwa mashirika ya Umma kwa kujinufaisha wao wenyewe.
 
Back
Top Bottom