Waziri January Makamba analiambia Bunge hivi sasa kuwa TTCL sasa imerejeshwa kwenye mikono ya Umma baada ya serikali kununua hisa zilizokuwa zikimilikiwa na mwekezaji Airtel (35%). Nadhani ni jambo jema sana!
Wait a second, Huyu mwekezaji aliuziwa hizi hisa asilimia 35 bila ya yeye kulipa fedha za mauzo ya hisa hadi leo hii. Mbaya zaidi alitumia resources za TTCL kwa miaka nenda rudi kwa manufaa yake binafsi.
Je, huyu mwekezaji alilipa fedha alizotakiwa kulipa ili kumilikishwa asilimia 35 ya TTCL?Kama alilipa, Serikali inaweza kutueleza amelipa lini,na kupitia valuation gani?
kama hayo hayakufanyika,Kwa nini serikali implipe huyu mwekezaji hewa fedha za hisa alizopewa bila kuzilipa?Na kama wamefanya hivyo wamelipa kwa huyu mwekezaji kiasi gani?
TTCL tumeambiwa ina negative equity, kwa nini kampuni yenye negative equity itoe pesa kumlipa mbia ambaye ni sehemu na sababu ya hiyo negative equity(provided alilipia hisa zake).
Something is not right here.
I sincerely hope Makamba was misquoted.
Waziri January Makamba analiambia Bunge hivi sasa kuwa TTCL sasa imerejeshwa kwenye mikono ya Umma baada ya serikali kununua hisa zilizokuwa zikimilikiwa na mwekezaji Airtel (35%). Nadhani ni jambo jema sana!
Linakuwaje jambo jema hapo. Hili shirika lilikuwa letu asilimia 100 na hatukusaidiwa na mtu kulianzisha. Wajanja wakawapa watu wa nje bure. Wamechuma na kwa rasilimali zetu wakaanzisha airtel ambayo nayo wametuibia. Sasa wanatuuzia kilicho chetu na tunashangilia!Waziri January Makamba analiambia Bunge hivi sasa kuwa TTCL sasa imerejeshwa kwenye mikono ya Umma baada ya serikali kununua hisa zilizokuwa zikimilikiwa na mwekezaji Airtel (35%). Nadhani ni jambo jema sana!
Waziri January Makamba analiambia Bunge hivi sasa kuwa TTCL sasa imerejeshwa kwenye mikono ya Umma baada ya serikali kununua hisa zilizokuwa zikimilikiwa na mwekezaji Airtel (35%). Nadhani ni jambo jema sana!
Kweli wajinga ndo waliwao! Umethibitishaje kuwa anayoyasema January Ni ya kweli? Kwanini TTCL haikurudishwa mikononi kwa wananchi miaka 10 iliyopita au basi angalau mwaka jana? Kwanini 2015?Hilo ni jambo jema na neema kwa watanzania kwani lina maslahi kwa umma.
Ni kawaida sana kwa maiti kurudishwa nyumbani ili ikazikwe karibu na walipozikwa ndugu zake.
Ni kawaida sana kwa maiti kurudishwa nyumbani ili ikazikwe karibu na walipozikwa ndugu zake.