Makamanda Wvua Magwanda

Makamanda Wvua Magwanda

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
Aliyekuwa Katibu Mwenezi Kata ya Olorien,mkoani Arusha kupitiaa chama cha CHADEMA,Prosper Mfinanga akivua sare za chama chake kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika jioni ya leo,akiashiria kukihama chama hicho na kuhamia chama cha CCM,ambapo pia alikabidhi kadi yake ya awali kwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana na kukabidhiwa kadi mpya ya chama hivyo.
12.jpg
 
17.jpg Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Monduli,Amani Ole Torongei,akizungumza jambo mbele ya umati wa watu waliofika katika mkutano wa hadhara uliofanyika jioni ya leo huku akionesha fulana ya CHADEMA akieleza kuwa amechoka kuwa mtumwa.Amani alitangaza kukihama chama chake na kutangaza rasmi kuhamia chama cha CCM,ambapo pia alikabidhi kadi yake ya awali kwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana na kukabidhiwa kadi mpya ya chama hicho cha CCM.
 
16.jpg Aliyekuwa Mwenyekiti wa wilaya ya Ngorongoro kupitia chama cha CHADEMA,Revocatus Mpalampala,akizungumza jambo mbele ya umati wa watu waliofika katika mkutano wa hadhara uliofanyika jioni ya leo.Revocatusi alitangaza kukihama chama chake na kutangaza rasmi kuhamia chama cha CCM,ambapo pia alikabidhi kadi yake ya awali kwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana na kukabidhiwa kadi mpya ya chama hicho cha CCM.
 
CCM imeona Njia Raisi ya Kushinda Ubunge Arusha ni kuwanunua viongozi wa chadema wanaonunulika- utakuja kusikia kwamba hawa ndiyo watakuwa wagombea ubunge wa CCM.

kiukweli Hapana njia yoyote CCM itakayotumia kushinda Chadema. Chadema Arusha ni sawa na damu na mwili.
 
Ha ha mbona huu mkutano wamejaa wakina mama waliokubali kuongwa kanga na vitambaa vya kufunga kichwani
 
Inakuwaje mkutano wote watu wamevaa uniforms...this means waliohudhuria wote ni wanachama, au wamepewa hizo uniforms ili waende mkutanoni!
 
Inakuwaje mkutano wote watu wamevaa uniforms...this means waliohudhuria wote ni wanachama, au wamepewa hizo uniforms ili waende mkutanoni!
uliza gharama waliyotumia ccm kuandaa huo mkutano utalia machozi MwanaDiwani @ juliana shonza
 
Last edited by a moderator:
CCM imeona Njia Raisi ya Kushinda Ubunge Arusha ni kuwanunua viongozi wa chadema wanaonunulika- utakuja kusikia kwamba hawa ndiyo watakuwa wagombea ubunge wa CCM.

kiukweli Hapana njia yoyote CCM itakayotumia kushinda Chadema. Chadema Arusha ni sawa na damu na mwili.

Mumeo katosheka kweli?
 
Wanaonyesha ka mtu kamoja walikokabembeleza ili wauzie picha ili hali chadema inawabeba ccm wanaonza kujitambua kimya kimya.
 
CCM imeona Njia Raisi ya Kushinda Ubunge Arusha ni kuwanunua viongozi wa chadema wanaonunulika- utakuja kusikia kwamba hawa ndiyo watakuwa wagombea ubunge wa CCM.

kiukweli Hapana njia yoyote CCM itakayotumia kushinda Chadema. Chadema Arusha ni sawa na damu na mwili.
Kwani viongozi wa chadema wamekuwa karanga wananunuliwa?
 
Angalau Chadema sasa ipate hewa safi kuelekea general election!
 
Let them go, Wanafki , Walevi wa madaraka na wazandiki wa majina yao nyuma ya damu ya wapenda haki hawatadumu. Watarukaruka kuutafuta ulevi wao na katu hawataridhika. Tupa kule mmoja baada ya mwingine.
Walikuja kwa njiaa moja ila wataondoka kwa njia saba tofauti, WATAFUKUZWA, WATAJITOA ,WATATOLEWAau KUPOTEZA MVUTO. Ila lazma waondokeeee
 
Inakuwaje mkutano wote watu wamevaa uniforms...this means waliohudhuria wote ni wanachama, au wamepewa hizo uniforms ili waende mkutanoni!

hela za escrow zilizopitia kwa joka la makengeza zinafanya kazi
 
Back
Top Bottom