Mtela Mwampamba
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 537
- 347
Kamanda wa Chadema Joshua Nassari akihutubia mkutano wa hadhara Arusha alijitanganza kwamba yeye ni Rais wa Kaskazini na Waziri mkuu wake ni Lema (mwaka jana) na akaenda mbali zaidi akamtaka Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania asikanyege Arusha!!! Kamanda Lema nae akihutubia mkutano wa hadhara Arusha amemtaka MH.Zitto asikanyage Arusha!!!!.Ubaguzi kama huu utaipeleka pabaya sana Nchi hii hasa tukiwaacha hawa vibaya wa kimachame wakiendelea na siasa za kibaguzi namna hii.
acha mipasho kama huna cha kuandika
hata mimi huwa nawashangaa wanaposema wanatafuta ukombozi wa watanzania ni heri wangehubiri wazi wanatafuta uhuru wa kaskazini ambao hawawezi kuupata kamweKamanda wa Chadema Joshua Nassari akihutubia mkutano wa hadhara Arusha alijitanganza kwamba yeye ni Rais wa Kaskazini na Waziri mkuu wake ni Lema (mwaka jana) na akaenda mbali zaidi akamtaka Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania asikanyege Arusha!!! Kamanda Lema nae akihutubia mkutano wa hadhara Arusha amemtaka MH.Zitto asikanyage Arusha!!!!.Ubaguzi kama huu utaipeleka pabaya sana Nchi hii hasa tukiwaacha hawa vibaka wa kimachame wakiendelea na siasa za kibaguzi namna hii.
Hizi siasa za kibaguzi zitatuharibia nchi.Naona ndani ya saccos yenu mambo yameharibika kwa sababu ya ubaguzi wa kikabila na kikanda na sasa mnaanza kutupangia mpaka maeneo ya kwenda!!!!!.kuwa kamanda wa chadema ni lazima ujitoe ufahamu yaani haya maneno utazani hawajawahi kuyasikia yakisemwa na haya vijana wa kimachame!!

UMESAHAU NA DINI mkuuHizi siasa za kibaguzi zitatuharibia nchi.Naona ndani ya saccos yenu mambo yameharibika kwa sababu ya ubaguzi wa kikabila na kikanda na sasa mnaanza kutupangia mpaka maeneo ya kwenda!!!!!.kuwa kamanda wa chadema ni lazima ujitoe ufahamu yaani haya maneno utazani hawajawahi kuyasikia yakisemwa na haya vijana wa kimachame!!
Kamanda wa Chadema Joshua Nassari akihutubia mkutano wa hadhara Arusha alijitanganza kwamba yeye ni Rais wa Kaskazini na Waziri mkuu wake ni Lema (mwaka jana) na akaenda mbali zaidi akamtaka Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania asikanyege Arusha!!! Kamanda Lema nae akihutubia mkutano wa hadhara Arusha amemtaka MH.Zitto asikanyage Arusha!!!!.Ubaguzi kama huu utaipeleka pabaya sana Nchi hii hasa tukiwaacha hawa vibaka wa kimachame wakiendelea na siasa za kibaguzi namna hii.
Hivi KAPUYA YU WAPI?
Hv kuna siku umewahi kuwaza kuwa ili uwe kiongozi inakubidi busara zako zianze kushuhudiwa kwenye ile jamii iliyo karibu na wewe? Au ipo siku uliwahi kuwaza kuwa ipo siku wewe utapenda kuwa kiongozi badala ya kuendelea kutumika kama daraja la wanaume kwa wenzako? Umewahi kujiuliza kuwa kupoteza muda kuongelea udhaifu wa mshindani wako is worth nothing, badala yake its worth something kama ukatumia udhaifu wake kujijenga badala ya kuandika uwongo na porojo!? Jitafakari upya kijana kama umeamua kuwekeza kwenye siasa wewe na baba yetu(mzazi wako) mpendwa!Kamanda wa Chadema Joshua Nassari akihutubia mkutano wa hadhara Arusha alijitanganza kwamba yeye ni Rais wa Kaskazini na Waziri mkuu wake ni Lema (mwaka jana) na akaenda mbali zaidi akamtaka Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania asikanyege Arusha!!! Kamanda Lema nae akihutubia mkutano wa hadhara Arusha amemtaka MH.Zitto asikanyage Arusha!!!!.Ubaguzi kama huu utaipeleka pabaya sana Nchi hii hasa tukiwaacha hawa vibaka wa kimachame wakiendelea na siasa za kibaguzi namna hii.
Kamanda wa Chadema Joshua Nassari akihutubia mkutano wa hadhara Arusha alijitanganza kwamba yeye ni Rais wa Kaskazini na Waziri mkuu wake ni Lema (mwaka jana) na akaenda mbali zaidi akamtaka Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania asikanyege Arusha!!! Kamanda Lema nae akihutubia mkutano wa hadhara Arusha amemtaka MH.Zitto asikanyage Arusha!!!!.Ubaguzi kama huu utaipeleka pabaya sana Nchi hii hasa tukiwaacha hawa vibaka wa kimachame wakiendelea na siasa za kibaguzi namna hii.
cdm inaendele kuviscan virus vilivyo bakia.
R.I.P Zitto.Z.Kabwe and Co.