Makamanda wa CHADEMA!!!!!!

Status
Not open for further replies.

Mtela Mwampamba

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
537
347
Kamanda wa Chadema Joshua Nassari akihutubia mkutano wa hadhara Arusha alijitanganza kwamba yeye ni Rais wa Kaskazini na Waziri mkuu wake ni Lema (mwaka jana) na akaenda mbali zaidi akamtaka Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania asikanyege Arusha!!!

Kamanda Lema nae akihutubia mkutano wa hadhara Arusha amemtaka MH.Zitto asikanyage Arusha!!!!.

Ubaguzi kama huu utaipeleka pabaya sana Nchi hii hasa tukiwaacha hawa vibaka wa kimachame wakiendelea na siasa za kibaguzi namna hii.
 
Kamanda wa Chadema Joshua Nassari akihutubia mkutano wa hadhara Arusha alijitanganza kwamba yeye ni Rais wa Kaskazini na Waziri mkuu wake ni Lema (mwaka jana) na akaenda mbali zaidi akamtaka Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania asikanyege Arusha!!! Kamanda Lema nae akihutubia mkutano wa hadhara Arusha amemtaka MH.Zitto asikanyage Arusha!!!!.Ubaguzi kama huu utaipeleka pabaya sana Nchi hii hasa tukiwaacha hawa vibaya wa kimachame wakiendelea na siasa za kibaguzi namna hii.

acha mipasho kama huna cha kuandika
 
acha mipasho kama huna cha kuandika

Hizi siasa za kibaguzi zitatuharibia nchi.Naona ndani ya saccos yenu mambo yameharibika kwa sababu ya ubaguzi wa kikabila na kikanda na sasa mnaanza kutupangia mpaka maeneo ya kwenda!!!!!.kuwa kamanda wa chadema ni lazima ujitoe ufahamu yaani haya maneno utazani hawajawahi kuyasikia yakisemwa na haya vijana wa kimachame!!
 
Kamanda wa Chadema Joshua Nassari akihutubia mkutano wa hadhara Arusha alijitanganza kwamba yeye ni Rais wa Kaskazini na Waziri mkuu wake ni Lema (mwaka jana) na akaenda mbali zaidi akamtaka Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania asikanyege Arusha!!! Kamanda Lema nae akihutubia mkutano wa hadhara Arusha amemtaka MH.Zitto asikanyage Arusha!!!!.Ubaguzi kama huu utaipeleka pabaya sana Nchi hii hasa tukiwaacha hawa vibaka wa kimachame wakiendelea na siasa za kibaguzi namna hii.
hata mimi huwa nawashangaa wanaposema wanatafuta ukombozi wa watanzania ni heri wangehubiri wazi wanatafuta uhuru wa kaskazini ambao hawawezi kuupata kamwe
 
umeanza kufukua vitu vya zamani h
ii ilikuwapo mara baada ya nasari kuchaguliwa, leo unaiibua isaidie nini?
 
Jamani, hivi hakuna issues nyingine za kuongelea katika JF zaidi ya CDM? Kweli nimeamini "Mjinga hawezi kuongea zaidi ya maneno 100 kwa siku" ataongea saaaana lakini atakuwa anarudia yale yale tu!! Come on guys, give us a break. Tunahitaji kujadili mambo mengine ya nchi hii kuliko kubaki na neno moja tu kula kukicha, CHADEMA!!!!
 
Stela vipi si uamie tiot plis kwa komba ukawe rahisi apo kitengo cha taarabu
Hizi siasa za kibaguzi zitatuharibia nchi.Naona ndani ya saccos yenu mambo yameharibika kwa sababu ya ubaguzi wa kikabila na kikanda na sasa mnaanza kutupangia mpaka maeneo ya kwenda!!!!!.kuwa kamanda wa chadema ni lazima ujitoe ufahamu yaani haya maneno utazani hawajawahi kuyasikia yakisemwa na haya vijana wa kimachame!!
 
Hizi siasa za kibaguzi zitatuharibia nchi.Naona ndani ya saccos yenu mambo yameharibika kwa sababu ya ubaguzi wa kikabila na kikanda na sasa mnaanza kutupangia mpaka maeneo ya kwenda!!!!!.kuwa kamanda wa chadema ni lazima ujitoe ufahamu yaani haya maneno utazani hawajawahi kuyasikia yakisemwa na haya vijana wa kimachame!!

cdm inaendele kuviscan virus vilivyo bakia.

R.I.P Zitto.Z.Kabwe and Co.
 
Attachments

  • PM 7.jpeg
    PM 7.jpeg
    9.8 KB · Views: 1,312
Hizi siasa za kibaguzi zitatuharibia nchi.Naona ndani ya saccos yenu mambo yameharibika kwa sababu ya ubaguzi wa kikabila na kikanda na sasa mnaanza kutupangia mpaka maeneo ya kwenda!!!!!.kuwa kamanda wa chadema ni lazima ujitoe ufahamu yaani haya maneno utazani hawajawahi kuyasikia yakisemwa na haya vijana wa kimachame!!
UMESAHAU NA DINI mkuu
 
Kamanda wa Chadema Joshua Nassari akihutubia mkutano wa hadhara Arusha alijitanganza kwamba yeye ni Rais wa Kaskazini na Waziri mkuu wake ni Lema (mwaka jana) na akaenda mbali zaidi akamtaka Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania asikanyege Arusha!!! Kamanda Lema nae akihutubia mkutano wa hadhara Arusha amemtaka MH.Zitto asikanyage Arusha!!!!.Ubaguzi kama huu utaipeleka pabaya sana Nchi hii hasa tukiwaacha hawa vibaka wa kimachame wakiendelea na siasa za kibaguzi namna hii.

....msubiri mwenzako anakuja hapo kusuguwa benchi !!!

Tafakari
 
Kamanda wa Chadema Joshua Nassari akihutubia mkutano wa hadhara Arusha alijitanganza kwamba yeye ni Rais wa Kaskazini na Waziri mkuu wake ni Lema (mwaka jana) na akaenda mbali zaidi akamtaka Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania asikanyege Arusha!!! Kamanda Lema nae akihutubia mkutano wa hadhara Arusha amemtaka MH.Zitto asikanyage Arusha!!!!.Ubaguzi kama huu utaipeleka pabaya sana Nchi hii hasa tukiwaacha hawa vibaka wa kimachame wakiendelea na siasa za kibaguzi namna hii.
Hv kuna siku umewahi kuwaza kuwa ili uwe kiongozi inakubidi busara zako zianze kushuhudiwa kwenye ile jamii iliyo karibu na wewe? Au ipo siku uliwahi kuwaza kuwa ipo siku wewe utapenda kuwa kiongozi badala ya kuendelea kutumika kama daraja la wanaume kwa wenzako? Umewahi kujiuliza kuwa kupoteza muda kuongelea udhaifu wa mshindani wako is worth nothing, badala yake its worth something kama ukatumia udhaifu wake kujijenga badala ya kuandika uwongo na porojo!? Jitafakari upya kijana kama umeamua kuwekeza kwenye siasa wewe na baba yetu(mzazi wako) mpendwa!
 
Kamanda wa Chadema Joshua Nassari akihutubia mkutano wa hadhara Arusha alijitanganza kwamba yeye ni Rais wa Kaskazini na Waziri mkuu wake ni Lema (mwaka jana) na akaenda mbali zaidi akamtaka Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania asikanyege Arusha!!! Kamanda Lema nae akihutubia mkutano wa hadhara Arusha amemtaka MH.Zitto asikanyage Arusha!!!!.Ubaguzi kama huu utaipeleka pabaya sana Nchi hii hasa tukiwaacha hawa vibaka wa kimachame wakiendelea na siasa za kibaguzi namna hii.

Umetafakari matatizo yote ya watanzania ujinga wako ukakufikisha kuona kuwa hili ndo tatizo kubwa tulilonalo?!

Hapo hapo kwenye red na wewe unameza matapishi yako!? Au ndo kusema chochote kikisemwa na aliyejivika gamba basi linakuwa sahihi?

CCM maweweseka sana mkija kuwa chama cha upinzani nchini....!!
 
Kamanda wa Chadema Joshua Nassari akihutubia mkutano wa hadhara Arusha alijitanganza kwamba yeye ni Rais wa Kaskazini na Waziri mkuu wake ni Lema (mwaka jana) na akaenda mbali zaidi akamtaka Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania asikanyege Arusha!!! Kamanda Lema nae akihutubia mkutano wa hadhara Arusha amemtaka MH.Zitto asikanyage Arusha!!!!.Ubaguzi kama huu utaipeleka pabaya sana Nchi hii hasa tukiwaacha hawa vibaka wa kimachame wakiendelea na siasa za kibaguzi namna hii.

tatizo akili zako zote unawaza kufuta viatu vya boss wako Nchemba, ludi ukafundishe hila nawasiwasi na uwezo mdogo utaambukiza watoto wetu!
 
Status
Not open for further replies.
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom